Poleni na hangover za wkend huku mkisubiri hangover 2 next week inatoka. Tukiachana na hayo, ni kwamba nilikuwa na girlfriend ambae mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumake nae love na tukaachana kama miaka 3 iliyopita, Jana nimeonana nae na jioni akanitext anaomba kurudia game tena na mimi nimevutika nione amekuwaje now. Je hii inadhihirisha kuwa waliooneshana ukubwa hawaachani au ni nyeg* zetu tu ndo zinatusumbua?.
Thankx Afrodenzi, swali kwako unajisikiaje unapokutana na ur first lover?? Je hupati hamu au msisimko wowote wa kurudia lile tendo??. LOL
Hata mie wala simfeel. In fact I hate him since he took advantage of my innocence! Labda wale ambao wana anza hayo mambo wakiwa 25 plus ndio wanaweza kukumbuka.
Mkuu inategemea mliachana vipi, kama mliachana kwa ugomvi basi hutomtamani ila kama mliachana peaceful basi yawezekana ukamtamani, naomba jaribu kutafakari then nipe matokeo. LOL
Hivi mimi nilimuanza nani vileeee! Aaaa, ngoja nikumbuke then nitarudi tena hapa jamvini.
Mnaweza mkaachana kwa ugomvi lakini kila mtu akawa bado ana-appreciate ufundi wa mwenzie wakati wa mavituzi. Sasa kama mmekaa mbali kwa miaka zaidi ya 3 then mnakutana ghafla, zile internal feelings zinakuwa activated na kuanza kutamani m-rewind ule mchezo. Tatizo ni nani aanze kumwonyesha mwenzie hisia za mapenzi. Kwa madume ya mbegu kama sisi, hatukawii kupata lugha ya kuanzia na hatimaye kupata ile kitu inamesa mwenzie.
Inategemea moyo wa mtu, kikubwa kama amepima H.I.V na imekuwa negative kwanini usifanye??. Ningefanya mkuu
ntatafuta kifaa cha ukweli nami nikate utepe.
unawakumbuka wale jamaa wa Makongo walioimba hv "nataka kikoombee kikombe, nataka kikombe nivunje mm mwenyewe. kikombe changu cha thamani nikichukue nikiweke ndani kisijekuliwa na majirani"
dah sasa moyo wako haukusuti kwamba unamsaliti wako wa wakti huo,vp nae akiamua kufanya na wake wa kitambo.