We hujui kitu kabisa hapa, nimewai kutumia formulae yako nikalamba mchanga, siku ya kwanza alikuja hadi chumba akawa kama unavyosema nikajua sealed, nikamwambia aje Dar nikampa nauli ya ndege, nipotangulia Dar akanipigia simu ebu nitumie tena hapo elfu hamsini nimwachie mtoto na house girl! sure nilishangaa sana baada ya kuonana nae nika mdadisi nikafahamishwa alipachikwa mimba form II! baba akamfukuza home anaishi na bibi.
wakati halikuwa hajui kila kitu na ukimshika anaruka na kuomba mchezo uharishwe siku nyingine na uwanja mwingine.