Wakuu,
Mnaendeleaje na hali?
Nina rafiki yangu amenielezea kuwa kwenye mahusiano yake mtu alie nae ni wabaridi mno na yeye ni wa moto
Na haijawahi kutokea mambo yakabadilika always ni hivyo hivyo. Yaani mwenza ni ukimgusa mwili wake ni baridi regardless ya hali ya hewa. Lakini yeye ni wa moto
Sasa nauliza tu, hii ni kawaida kwamba kwenye mahusiano mmoja lazima awe wa baridi na mwingine wa moto?
Au imekaaje hii wakuu?