Je, ni kweli Lavalava analala kwenye gari?

Je, ni kweli Lavalava analala kwenye gari?

brownboy

Senior Member
Joined
Jun 10, 2023
Posts
103
Reaction score
278
Baada ya lavalava kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha billnas, #beernyama#, dotto magari amakuja juu baada ya msemo wake mpya wa #hapa ipo# kutumika kwenye ngoma hiyo.

Kwenye interview aliyofanyiwa na carry story TV.

Aliwaponda sana wasanii hao haswa lava lava na kusema kuwa analala kwenye Gari plus ananuka miguu [emoji2957], na kwamba rizki yake ngumu mpaka akiamka asubuhi anaomba Mungu avae suruali haina mifuko kisa Hana hela.

Kwenu wadau mnaowafahamu vizuri wasanii mje mniambie.
 
Beernyama
Screenshot_20231223-175806_Instagram.jpg
 
Tuache utani kanyimbo kana vaibu kudos kwao.
 
Pengine mana hao machawa wanajua kila msanii na maisha yake huyu kapanda huyu kashuka wananusa mahali penye pesa kama watoto wa kike ila doto magari nae naona anajina na anapata pesa nyingi ila mahali anapoishi ndio uswahilini sana sijui ndio kuzingatia mashariti
 
Pengine Kuna ukweli maana wasanii wetu wa bongo Hawa hawaeleweki.
 
Hizo ni kiki mtoa mada punguza shobo,unafikiri ngoma itaendaje mjini
 
Lavalava namjua, ni kijana wa hapo WCB. Ila uyo Dotto magari sasa, ni nani wazee?
 
Lavalava namjua, ni kijana wa hapo WCB. Ila uyo Dotto magari sasa, ni nani wazee?
Dotto Magari km jina lake linvyojieleza ni mtoto wa mzee Magari km unamfahamu muigizaji wa zamani bongo movie swaiba yake marehemu Kanumba na Ray ambae siku hizi anaishi Marekani kifupi dtto ni mtt wake wa kwanza
 
Back
Top Bottom