Je ni kweli madini ya TANZANITE yamemalizika?

[emoji2] Kwahiyo aunde kamati ya ufundi (Mshana jr + Mtu Mzito + Jichawi + Mzizi Mkavu)
Tena hyo kamati iwe iko vzuri mno. Mi kuna rafiki zangu wako kwahyo business walinisimulia hzo mambo Mpaka ngachoka kabisa
 
Naomba contact zake pls
huyu ni mtu hot sana kule kumpata sio kirahisi hivyo!mara nyingi anakuwa chini na kule netwek hakuna!ila vizuri tembelea kule mtafute tu kwa kumuulizia utampata.ni mtu ana pesa nyingi sana sababu kazi zake anapenda kufanya kwa parcentage mtakachotoa yeye utampatia kiasi fulani na sio kwamba utakuwa unamlipa ili akufanyie kazi zako.huyu ni mtu tajiri sana kuliko unavyomfikiria anaweza kufananishwa na kina manji
 
Huo ni ukweli usio pingika, nimefanya kazi migodini nimeona yasiyo semeka
 
So unataja nianze kuanza kukuelezea matemperature/ pressure conditions, boudins blah blah, .. Naifahamu vizur,

I have been there, nimefanya kazi Kilimanjaro mines limited , mererani block A , research ya kuchukulia degree nimeandikia mererani,
Nafurahi kama unajua inapatikana kwenye foldings,na uzuri zaidi unajua mpaka iys favourable conditions of formation.
 
Tupe angalao kidogo.. Mazingira ya kazi yakoje?
hahahaha nimecheka kwanza ila mimi nimefanya kazi block c miaka ya nyuma akiwa kaburu pale!hahaha nilikuwa security pale
asikwambie mtu kule ni unyamani
kuna hawa apolo wanaotoka migodi ya jirani si unajua migodi mingi kule chini imeingiliana yaani mitobozano!acha bwana hawa apolo wana roho ngumu kuliko hata magaidi wa alshabab!kwanini nakwambia hivyo sababu hawa jamaa ni shida kwanza mtu anacro na tumbo kama nyoka kwa karibu km 1 huko chini au na zaidi unakuwa hewa ya inayomtosha mtu mmoja kuvuta mnaitumia watu kumi!bado humo chini kuna vumbi la kutosha na moshi wa baruti ambao ni sumu kali lakini mtu hajali.ogopa mtu anaingia shimoni na malapa au yebo na wala hana helmet na anatumia tochi ya kibiriti cha gesi muogope sana huyo mtu sababu giza la kule chini hata la kaburini tupa kule!
 
Nafurahi kama unajua inapatikana kwenye foldings,na uzuri zaidi unajua mpaka iys favourable conditions of formation.
Mkuu nimepiga kazi pale kilimanjaro mines ila mpaka naondoka hakukuwah kuwa na mzigo wa uhakika , ila baada ya kuondoka watu walipiga mizigo ya kufa mmasai aisee...

BTW biashara ya kuchimba tanzanite ni biashara kichaa, unaweza hustle miaka 3 unachoma hela tu ila ukapiga mzigo mmoja gharama zako zote zikarudi, sio biashara ya kujaribu hata kidogo kama una mtaji wa mawazo
 
Mkuu pale ni pazuri kama umeajiriwa shafti,tena uwe driller ndo possibility ya kukutana na mawe inakua kabwa.
 
Wakuu mnamtisha mwenzenu sio kila biashara ni ulonzi hiyo ilikua zamani enzi watu wanachimba tanzanite mgodi kma mfereji,kuna waru wamenunua maeneo hata mwaka haujaishi wametoa mzigo wa maana.kununua eneo ni bei rahisi shida ni kuchimba na kuweka miundombinu ndio kunakula hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…