Je ni kweli madini ya TANZANITE yamemalizika?

Je ni kweli madini ya TANZANITE yamemalizika?

It seems like your awareness concerns gemstone is lit bit less, I urge you before throwing yourself in, just take your time to get ised to it otherwise your going collapse completely.
Seek consultation in business and technical expertise with regards to Tanzanite especially for this era, things changed alot in the industry
 
Kuna tofauti kati ya your na you are
 
lima utapiga pesa ila angalia moshi kitunguu mwaka huu ni janga
 
Nataka nizame kwa onee mwezi ujao.....kule wanapaita Karo....any idea? Mwenye uzoefu na huyu boss
 
hahahaha nimecheka kwanza ila mimi nimefanya kazi block c miaka ya nyuma akiwa kaburu pale!hahaha nilikuwa security pale
asikwambie mtu kule ni unyamani
kuna hawa apolo wanaotoka migodi ya jirani si unajua migodi mingi kule chini imeingiliana yaani mitobozano!acha bwana hawa apolo wana roho ngumu kuliko hata magaidi wa alshabab!kwanini nakwambia hivyo sababu hawa jamaa ni shida kwanza mtu anacro na tumbo kama nyoka kwa karibu km 1 huko chini au na zaidi unakuwa hewa ya inayomtosha mtu mmoja kuvuta mnaitumia watu kumi!bado humo chini kuna vumbi la kutosha na moshi wa baruti ambao ni sumu kali lakini mtu hajali.ogopa mtu anaingia shimoni na malapa au yebo na wala hana helmet na anatumia tochi ya kibiriti cha gesi muogope sana huyo mtu sababu giza la kule chini hata la kaburini tupa kule!
Duuhuu!
 
Mhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali

Unaweza pia ukawa na mtaji mzuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?

Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....

Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
Acha kudanganya watu na imani za kijinga za kiswahili sasa hayo yanausiana na nn,kitu GPS na sensa kinagonga direct kwenye jiwe taa kinakupa data zote aina ya dini lililopo,gram,quality yake, distance na location ya Mali ilipo.unashusha mitambo kwenye mali, hayo mambo ya ramli ni Kwa wale wanaochimba Kwa kubahatisha.
 
Sasa kumbe ramli ipo kwa wale wanao bahatisha ? Nilichodanganya ni nini ?
 
Kaka madini noma ya Mganga iko ngapi? naona wekeza kenye afya jenga dispensari utagonga pesa sana jengo pekee dhamana achana na mdini.
 
Ya mambo ya ramli ni ya kubahatisha yangekuwa na uhakika waganga wangekuwa mabilionea na wala hayana uhalisia na kuaso,ila biashara hio ni kichaa utaliwa lazima upate hasara sana kabla ya kupata uzoefu upige hela,mganga afanyacho ni kukujengea makonfidence kuongeza imani yako.
 
Ramli labda huku kwenye madini mengine migodi mingi ya tanzanite wameajiri geologist kwa kuwapa 15% to 20% ya production madini yakitoka anachukua % yake,kwahiyo mgodi wenye mtaalamu aliesomea miamba madini wanapata sana
 
Yes ata mimi nina imani mzigo upo so acheni kuwatisha wawekezaji wa ndani!
 
Haijaisha,kabla hujainvest fanya 'intensive geological survey' ya hilo eneo/kitalu husika,usizike hela afu unaanza kubahatisha kama zipo au hazipo utaja kufa na presha buree
 
Acha kudanganya watu na imani za kijinga za kiswahili sasa hayo yanausiana na nn,kitu GPS na sensa kinagonga direct kwenye jiwe taa kinakupa data zote aina ya dini lililopo,gram,quality yake, distance na location ya Mali ilipo.unashusha mitambo kwenye mali, hayo mambo ya ramli ni Kwa wale wanaochimba Kwa kubahatisha.
Mkuu gps ina allocate madini yalipo?
Mmmh basi uchimbaji ungekuwa rahisi sana
 
Wakuu napenda kuingia kwenye biashara hii ya uchimaji wa Tanzanite, yani ninunue kitalu changu kisha nianze kupiga kazi.
But nataka kujiridhisha japo kwa uchache.
Jee hii zawadi(Tanzanite) tuliyopewa na Mungu wetu bado tunayo au imeshajiishia?maana naogopa kupoteza pesa!
Nawasilisha:
Njoo usiogope maaneo bado yapo tanzanite ipo nyingi sana
 
Sina tatizo na imani yako Mkuu ,ila kule hawamjui Mungu unayemjua wewe ,watu wana miungu yao
kupata madini ni science tu, hata ukiwanga uchi wa mnyama kama ulinunua eneo bila kupata taarifa ya kitaalamu kuhusu uwepo wa hayo madini ktk hilo eneo hutapata madini. Unatakiwa upate ripoti sahihi kuhusu uwepo wa hayo madini katika eneo husika na hata ujazo wa hayo madini chini ya ardhi katika hilo eneo wataalam wanao uwezo wa kupima. Huhitaji kufanya tambiko.
 
Back
Top Bottom