Kuna tofauti kati ya your na you areIt seems like your awareness concerns gemstone is lit bit less, I urge you before throwing yourself in, just take your time to get ised to it otherwise your going collapse completely.
Seek consultation in business and technical expertise with regards to Tanzanite especially for this era, things changed alot in the industry
Sorry! Are you primary school english teacher!?Kuna tofauti kati ya your na you are
Sorry! Are you primary school english teacher!?
Duuhuu!hahahaha nimecheka kwanza ila mimi nimefanya kazi block c miaka ya nyuma akiwa kaburu pale!hahaha nilikuwa security pale
asikwambie mtu kule ni unyamani
kuna hawa apolo wanaotoka migodi ya jirani si unajua migodi mingi kule chini imeingiliana yaani mitobozano!acha bwana hawa apolo wana roho ngumu kuliko hata magaidi wa alshabab!kwanini nakwambia hivyo sababu hawa jamaa ni shida kwanza mtu anacro na tumbo kama nyoka kwa karibu km 1 huko chini au na zaidi unakuwa hewa ya inayomtosha mtu mmoja kuvuta mnaitumia watu kumi!bado humo chini kuna vumbi la kutosha na moshi wa baruti ambao ni sumu kali lakini mtu hajali.ogopa mtu anaingia shimoni na malapa au yebo na wala hana helmet na anatumia tochi ya kibiriti cha gesi muogope sana huyo mtu sababu giza la kule chini hata la kaburini tupa kule!
Acha kudanganya watu na imani za kijinga za kiswahili sasa hayo yanausiana na nn,kitu GPS na sensa kinagonga direct kwenye jiwe taa kinakupa data zote aina ya dini lililopo,gram,quality yake, distance na location ya Mali ilipo.unashusha mitambo kwenye mali, hayo mambo ya ramli ni Kwa wale wanaochimba Kwa kubahatisha.Mhhh mimi huwa na wasiwasi sana na maeneo karibu na Uwanja wa ndege kuna sehemu kutakuwa na reserve ya kutosha imefanywa siri na serikali
Unaweza pia ukawa na mtaji mzuri je kuloga pia upo vizuri ? Vipi kuchinja watoto wachanga kwenye mdomo wa shimo ?
Kule ni the strongest ndio wanao survive sio uje na imani zako oh mimi ni mkristo safi au muislamu safi ....
Kwa kifupi ile ni kazi chafu kuliko unavyofikiria hivyo yakupasa na wewe uwe mchafu kweli kweli
Sasa kumbe ramli ipo kwa wale wanao bahatisha ? Nilichodanganya ni nini ?Acha kudanganya watu na imani za kijinga za kiswahili sasa hayo yanausiana na nn,kitu GPS na sensa kinagonga direct kwenye jiwe taa kinakupa data zote aina ya dini lililopo,gram,quality yake, distance na location ya Mali ilipo.unashusha mitambo kwenye mali, hayo mambo ya ramli ni Kwa wale wanaochimba Kwa kubahatisha.
Ili mgodi uteme unahitaji Geologist makini..nyingine nyingi myth ya kiafrikaNa ili mgodi uteme lazima ufanye matambiko ya hatari bila hivo unajipotezea mda
Mkuu gps ina allocate madini yalipo?Acha kudanganya watu na imani za kijinga za kiswahili sasa hayo yanausiana na nn,kitu GPS na sensa kinagonga direct kwenye jiwe taa kinakupa data zote aina ya dini lililopo,gram,quality yake, distance na location ya Mali ilipo.unashusha mitambo kwenye mali, hayo mambo ya ramli ni Kwa wale wanaochimba Kwa kubahatisha.
Kama una 120 millions utapata kiwanja block sio opec cha uhakika..Mkuu huo mtaji mkubwa ndio sh ngapi?
Njoo usiogope maaneo bado yapo tanzanite ipo nyingi sanaWakuu napenda kuingia kwenye biashara hii ya uchimaji wa Tanzanite, yani ninunue kitalu changu kisha nianze kupiga kazi.
But nataka kujiridhisha japo kwa uchache.
Jee hii zawadi(Tanzanite) tuliyopewa na Mungu wetu bado tunayo au imeshajiishia?maana naogopa kupoteza pesa!
Nawasilisha:
Gwajima mererani atoboi arifu...atabeba viatu asepe.Kwahiyo jamaa ajiandae kuua...
Au aende kwa akina gwajima watamsaidia kwa maombi tu
kupata madini ni science tu, hata ukiwanga uchi wa mnyama kama ulinunua eneo bila kupata taarifa ya kitaalamu kuhusu uwepo wa hayo madini ktk hilo eneo hutapata madini. Unatakiwa upate ripoti sahihi kuhusu uwepo wa hayo madini katika eneo husika na hata ujazo wa hayo madini chini ya ardhi katika hilo eneo wataalam wanao uwezo wa kupima. Huhitaji kufanya tambiko.Sina tatizo na imani yako Mkuu ,ila kule hawamjui Mungu unayemjua wewe ,watu wana miungu yao