Je ni kweli madini ya TANZANITE yamemalizika?

Tanzanite ni rare afu bei chee, diamond inachimbwaga maeneo kibao afu ndo ipo juu.... hawa wazungu hawajaturoga lakini. kwanini Diamond ni expensive sana? nifunzeni wakuu
 
Tanzanite ni rare afu bei chee, diamond inachimbwaga maeneo kibao afu ndo ipo juu.... hawa wazungu hawajaturoga lakini. kwanini Diamond ni expensive sana? nifunzeni wakuu

mkuu diamond ni expensive kutokana na sifa yake kubwa ya UGUMU (HARDNESS)..Diamond ndo hard mineral kwenye moho scale na kutokana na sifa hiyo basi Diamond inaweza tumika ktk mambo mbalimbali sana yenye uhitaji mkuu ktk jamii..ndo mana thaman yake huongezeka..

Lakini pia diamond kwa kuwa ni gemstone basi katika uuzaji lazima tuangalie zile FOUR C's za gemstone..So kama hivyo vigezo vikiwa na mapungufu basi diamond yaweza uzwa rahisi kuliko hata hiyo tanzanite..

Hizo FOUR C's ni;
Carat
Color
Cutting
Clarity..

by geologist shabani..

"I stand to be corrected"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…