Je, ni kweli marehemu huwa haandikagi usia wa uongo?

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Inasemekana marehemu huwa haandikagi usia wa uongo maana anajua akishakufa habari yake imeisha na uongo hautamsaidia kitu

Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Tusubiri uchunguzi wa kitaalamu
 
Akiandika uongo imekula kwake maana watu hawatamtetea
 
Kuna kitu wanasheria wanaita dying declarations kwa nadharia kwamba maneno anayosema mtu anayekaribia kufa huwa ni ya kweli na yanaweza kutumika kama ushahidi
 
Back
Top Bottom