Tetesi: Je ni kweli Mario Baloteli anataka kuinunua Simba?

Yule jamaa wa Facebook ni muhuni hakuna kitu kama hcho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mhh
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆!
Mario Balotelli kuinunua Simba S.C. [emoji1241][emoji837][emoji836]️

◉Kulingana na Balotelli, wanasoka wa Kiafrika wanaocheza Ulaya wana pesa ambazo wanaweza kujenga angalau viwanja vitano vya hadhi ya kimataifa katika kila nchi.

◉"Kwangu mimi, Simba na Tanzania ndizo zinazofaa zaidi katika mradi wangu. Nataka kuona Tanzania ikishinda ligi ya Mabingwa, Kombe la Afrika na kufanya vyema katika Kombe la Dunia la 2026". -alieleza Balotelli

Jamii Check Please Assist

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ni Marioo ana hela kuliko ( Simba - mond ) anataka kumiliki ile klabu pale, 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆!
Mario Balotelli kuinunua Simba S.C. [emoji1241][emoji837][emoji836]️

◉Kulingana na Balotelli, wanasoka wa Kiafrika wanaocheza Ulaya wana pesa ambazo wanaweza kujenga angalau viwanja vitano vya hadhi ya kimataifa katika kila nchi.

◉"Kwangu mimi, Simba na Tanzania ndizo zinazofaa zaidi katika mradi wangu. Nataka kuona Tanzania ikishinda ligi ya Mabingwa, Kombe la Afrika na kufanya vyema katika Kombe la Dunia la 2026". -alieleza Balotelli

Jamii Check Please Assist
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Attachments

  • Screenshot_20230806-101154_2.jpg
    Screenshot_20230806-101154_2.jpg
    64.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom