Je, ni kweli mbwa ulaya ni bora kuliko binadamu aishiye Tanzania?

chumanil

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
121
Reaction score
73
Inashangaza sana kiukweli.katika pita,pita yangu mitaani nikiwa katika harakati zangu za kujikwamua kiuchumi.nilifika katika mgahawa na kupata chakula cha mchana.pembeni yangu kulikua na vijana wanne,nao wakipata vinywaji uku wakiongea kwa sauti kubwa tu, ambayo kira aliokua,mle mgawahani anasikia.NILISHANGAA SANA NILIPO SIKIA MMOJA WAO AKISEMA"yaani maisha haya bora kuzali mbwa ulaya kuliko,kua binadamu tanzania".mwisho wa kunukuu.Kiukweli kauli ile ilinishangaza sana na kuniachia maswali mengi sana kichwani mwangu.katka maswali ambayo najiuliza ni kama yafutayo-:
(1)je?nikweli mbwa ulaya ni bora kuliko binadamu aishio tanzani?
(2)uvivu uzoba wa kuto fikili nini cha kufanya ndio hali iliompelekea kuongea kauli ile?
(3)ukosefu wa ajira,na kutokua na njia m'badala ya kuongeza kipato ndo chanza cha hayo yote?WANA JF NIPENI UFAFANUZI JUU YA HII KAULI.
 
Ni ujinga wa hali ya juu kujifananisha na mnyama.
Sisi binadamu tuna hadhi kubwa sana na tumeumbwa kwa utafauti kabisa na wanyama.
Sasa kujifananisha na mbwa ni kujishusha hadhi kabisa.
Mbwa wa ulaya ana kitu gani tofauti na mbwa wa huko?
 
Ni ujinga wa hali ya juu kujifananisha na mnyama.
Sisi binadamu tuna hadhi kubwa sana na tumeumbwa kwa utafauti kabisa na wanyama.
Sasa kujifananisha na mbwa ni kujishusha hadhi kabisa.
Mbwa wa ulaya ana kitu gani tofauti na mbwa wa huko?
Mkuu nilitamani kumrukia....!rakini nilijiuliza sana Y??
 
Ni vema ungemuuliza huyo kijana aliyetamka hivyo naimani angekupa ufafanuzi mzuri sana.
Ni kweli rakini,nisinge weza kuongea nae nilikua na hasira juu ya kauli yake hiyo.
 
cku nyingine fata kilicho kupeleka ya mtu mwachie mtu
 
cku nyingine fata kilicho kupeleka ya mtu mwachie mtu
Ukichukulia mfano mdogo wa jaribio la mauaji kwa TL je Ulaya unaweza kumshambulia mbwa vile halafu ukapotea bila kujulikana? Kwa hayo na mengine mengi yanayofanywa na wenye mamlaka hapa, ni heri mbwa ulaya.
 
Hii ni kama kasumba kwa vijana wanataraji vitu vikubwa tofauti na uhalisia wa mambo.

Ndio maana mtu yuko radhi kujifananisha na mbwa wa ulaya
 
mambo ya mtu we yanakuhusu nn , hujui alichopitia mpk kufikia hatua ya kuzungumza hivo , mind your own bussiness bro.
 
kwa upande mwingine kama yupo sahihi ivi imagine matunzo ya mbwa wa bill gate si anawazidi wabongo wengi kwa hali sha maisha.
 
Ni kufru (kukufuru)
 
Somtym ni misemo tu ya waswahili na ni kama jokes flan siyo lazima kuchukulia serious kila kitu
 
Ukiwaza kwa undani zaidi,ni ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…