Je, ni kweli mbwa ulaya ni bora kuliko binadamu aishiye Tanzania?

Je, ni kweli mbwa ulaya ni bora kuliko binadamu aishiye Tanzania?

kwa upande mwingine kama yupo sahihi ivi imagine matunzo ya mbwa wa bill gate si anawazidi wabongo wengi kwa hali sha maisha.
Kweli but binadam ndo kiumbe bora kuliko vyote,iweje DOG awe zaidi yangu?NAWEZA FUGA,ila awezi nifuga Mimi.TUMIA UBONGO KUFIKILIA.
 
Inashangaza sana kiukweli.katika pita,pita yangu mitaani nikiwa katika harakati zangu za kujikwamua kiuchumi.nilifika katika mgahawa na kupata chakula cha mchana.pembeni yangu kulikua na vijana wanne,nao wakipata vinywaji uku wakiongea kwa sauti kubwa tu, ambayo kira aliokua,mle mgawahani anasikia.NILISHANGAA SANA NILIPO SIKIA MMOJA WAO AKISEMA"yaani maisha haya bora kuzali mbwa ulaya kuliko,kua binadamu tanzania".mwisho wa kunukuu.Kiukweli kauli ile ilinishangaza sana na kuniachia maswali mengi sana kichwani mwangu.katka maswali ambayo najiuliza ni kama yafutayo-:
(1)je?nikweli mbwa ulaya ni bora kuliko binadamu aishio tanzani?
(2)uvivu uzoba wa kuto fikili nini cha kufanya ndio hali iliompelekea kuongea kauli ile?
(3)ukosefu wa ajira,na kutokua na njia m'badala ya kuongeza kipato ndo chanza cha hayo yote?WANA JF NIPENI UFAFANUZI JUU YA HII KAULI.


Inategemeana, kama hutaki kufanya kazi hapa Tanzania kwa sababu ulizoea kuishi tu kimagumashi lazima utaisoma namba. Huwezi kula bila kufanya kazi, hapa kazi tu. Hata huko Ulaya mbwa anatunzwa kwa sababu anafanya kazi ya ulinzi.
 
Kweli but binadam ndo kiumbe bora kuliko vyote,iweje DOG awe zaidi yangu?NAWEZA FUGA,ila awezi nifuga Mimi.TUMIA UBONGO KUFIKILIA.
kila mtu na mawazo yake,kwa yeye anaona akiwa mbwa maisha yatakuwa bora zaidi .
 
Back
Top Bottom