Je, ni kweli mbwa ulaya ni bora kuliko binadamu aishiye Tanzania?

kwa upande mwingine kama yupo sahihi ivi imagine matunzo ya mbwa wa bill gate si anawazidi wabongo wengi kwa hali sha maisha.
Kweli but binadam ndo kiumbe bora kuliko vyote,iweje DOG awe zaidi yangu?NAWEZA FUGA,ila awezi nifuga Mimi.TUMIA UBONGO KUFIKILIA.
 


Inategemeana, kama hutaki kufanya kazi hapa Tanzania kwa sababu ulizoea kuishi tu kimagumashi lazima utaisoma namba. Huwezi kula bila kufanya kazi, hapa kazi tu. Hata huko Ulaya mbwa anatunzwa kwa sababu anafanya kazi ya ulinzi.
 
Kweli but binadam ndo kiumbe bora kuliko vyote,iweje DOG awe zaidi yangu?NAWEZA FUGA,ila awezi nifuga Mimi.TUMIA UBONGO KUFIKILIA.
kila mtu na mawazo yake,kwa yeye anaona akiwa mbwa maisha yatakuwa bora zaidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…