Uchaguzi 2020 Je, ni kweli mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM anakubalika kama mitandao inavyotuaminisha?

Uchaguzi 2020 Je, ni kweli mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM anakubalika kama mitandao inavyotuaminisha?

Mhhh...huku kwetu hakubaliki watu wanamchukia kama shetani/ibilisi.
 
Hakuna uchaguzi hiyo October, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Je kwenye ujinga kuna matokeo yoyote yatakuwa kinyume cha ujinga huo?
Kama ni maonesho ya ujinga na ninyi niwashiriki, ninyi mtakuwa sawa na nyumbu mjinga.
 
Habari zenu Wana wa JamiiForums

Natanguliza kusema mimi si mwanasiasa, siijui siasa wala itikadi yeyote. Kwanza toka nizaliwe sijawahi kupiga hata kura ndio labda mwaka huu kwa mara ya Kwanza nitachagua viongozi....
Akipata hata 25% akatambike , haungwi mkono na yeyote wala taasisi yoyote , hao unaowaona wanakula na kipofu
 
Hata Uwe Malaika ukishaingia CCM tu hauwezi kukubalika,kumbuka chochote kinachoishi chooni hakiwezi kunukia vizuri.
ata ccm wote waamie chadema bado mtabaki mnalitukana tu neno ccm.maan amchukii watu mnachukia neno.
 
Kama ni maonesho ya ujinga na ninyi niwashiriki, ninyi mtakuwa sawa na nyumbu mjinga.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Narudia tena, hakuna uchaguzi bali kuna ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Naomba ikae hivyo hivyo kwenye rekodi yako. Ukweli huu unauma lakini ndio hivyo.
 
Narudia tena, hakuna uchaguzi bali kuna ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Naomba ikae hivyo hivyo kwenye rekodi yako. Ukweli huu unauma lakini ndio hivyo.
Wacha nikupuuze, always umoja ni ushindi.
Baki na upuuzi wako.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Anakubalika sana, tena himu kitandaoni hutapata picha halisi kwa sababu sehemu ya watanzania wanaotumia hii mitandao ni ndogo tu. Ukweli halisi uchunguze kwa watu wasiotumia hii miatandao ambao ndio wengi. Kifupi anakubalika sana
Wewe sio mtanzania,? Mbona unawasemea watu umejuaje idadi ya wanaotumia mitandao?
 
Wacha nikupuuze, always umoja ni ushindi.
Baki na upuuzi wako.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Najua ni kwa kiwango gani maneno yangu yamekuumiza. Ushindi huja kwa kushindana na wala sio hiki kinachoendelea. Kila chama kinapenda kupendwa, ila wakati ni ukuta, na ccm sio chama cha kizazi hiki, hivyo kinategemea kubaka ili kulazimisha upendo.
 
Waulize wenyewe humu hatuna majibu yao ila kama unataka comment subiri
 
Anakubalika sana, tena himu kitandaoni hutapata picha halisi kwa sababu sehemu ya watanzania wanaotumia hii mitandao ni ndogo tu. Ukweli halisi uchunguze kwa watu wasiotumia hii miatandao ambao ndio wengi. Kifupi anakubalika sana

Hao wanaomkubali wanashindwa nini kuingia mitandaoni kwenye mitazamo huru? Huko mtaani watu waliojaa hofu ni nani anathubutu kuonyesha hisia zake negative dhidi ya utawala huu?

Ukifanya mapenzi na mwanamke sio kwamba anakupenda, bali unaweza kumbaka au akakupa penzi kwa kukuhofia. Lakini ukiongea naye mahali anapohisi yuko huru atakwambia ukweli. Wanachofanya ccm kwa sasa ni kushurutisha kupendwa.
 
Back
Top Bottom