Salaam wanajamvi, nimekuwa nikijiuliza sana sababu za Mpoki Mujuni tajiri la kihaya wa ze comedy kwanini hakuhudhuria harusi ya swahiba wake Masanja na sijapata majibu yoyote.
Katika harusi hiyo walihidhuria member wote wa ze comedy wakiongozwa na meneja wao Sekione Davidson lakini cha kushangaza Mpoki hakuwepo wala hajapost kokote si Instagram au Facebook kumpongeza Masanja. Kulikoni? Anayejua tatizo Ni nini atujuze wakuu.
View attachment 401078 kapost insta siku mingi tu mkuu
Shem wangu kumbe siku hizi hupendi ubuyu??[emoji1]Jamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????