wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya vipimo ili kubaini kama hilo tatizo ni kweli..
Mimi nina wasiwasi kama daktari kasema ukweli au ni njia ya kutaka alipwe sh .300,000 kwa ajili ya hivyo vipimo.. Mwanzoni alisema inahitajika sh. 510, 000 anaweza kufanya mpango akapata punguzo kwa bei ya sh. 300,000
Naomba ushauri hilo jambo la sindano za kuzuia , kuua mayai ya uzazi lina ukweli ndani yake au Dokta anataka kupiga hela..
Msaada wetu wenye uzoefu kwa ushauri ..
Asante .