Je, ni kweli mwanamke akiwa katika siku za hedhi anakuwa na hasira?

Je, ni kweli mwanamke akiwa katika siku za hedhi anakuwa na hasira?

magenyaaa

Senior Member
Joined
May 1, 2019
Posts
159
Reaction score
207
Habari za asubuhi wakuu?

Natumaini tu wazima wa afya, kwa wale wagonjwa polen!!

Neende moja kwa moja kwenye mada! Et wakuu mwanamke akiwa kwenye cku zake ( bleeding), anakuwa na hasira Sana adi kumchukia mmewe/ mpenziwe.

Mimi ni mwanamme nipo katika mahusiano miezi 6 saiz na dada fulan toka sukuma land. Tatzo huyu dada, Kila akiingia tu breeding hataki nimpgie cm Wala kuchart nae ila akishatoka mambo yanakuwa poa kabsaa....!!

Ndo nauliza wakuu hii kitu ipo kwel kibailojia au napigwa changa la macho wakuu!! Nisaidiee wakuu maana jf haijawahi shindwa kitu
 
Kila mmoja hupatwa na hali yake.. Wengine ndio kipindi cha kuwa romantic ile mbaya
 
Leo jinsi nimeamka natamani dunia nzima iamke kama mimi.
 
Habari za asubuhi wakuu?

Natumaini tu wazima wa afya, kwa wale wagonjwa polen!!

Neende moja kwa moja kwenye mada! Et wakuu mwanamke akiwa kwenye cku zake ( breeding), anakuwa na hasira Sana adi kumchukia mmewe/ mpenziwe.

Mimi ni mwanamme nipo katika mahusiano miezi 6 saiz na dada fulan toka sukuma land. Tatzo huyu dada, Kila akiingia tu breeding hataki nimpgie cm Wala kuchart nae ila akishatoka mambo yanakuwa poa kabsaa....!!

Ndo nauliza wakuu hii kitu ipo kwel kibailojia au napigwa changa la macho wakuu!! Nisaidiee wakuu maana jf haijawahi shindwa kitu
Wewe ukiwa kwenye hiyo hali huwa unakuwaje ?
 
Hivi mkuu unajua maana ya breeding?

Ungeendelea na kiswahili tu ili kupunguza kero ndogo ndogo kama hizi aseee
Kwa kuwa anaulizia masuala ya breeding ngoja nimsogezee kabisa kitabu, ukweli wote upo humi😆

images (4).jpeg
 
Back
Top Bottom