Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyooo!Viroja vingine ni vya makusudi..
Mi wake zangu nishawaambia..Hizo mood swings zinazotokana sijui na kulipa kodi ya mwezi, ujauzito wapambane nazo wenyewe..Wasijaribu kuniletea..Nashukuru sijawahi kuziona.
Ww ni shahidi..Si umeona watoto wanaozaliwa bila viroja wanavyokuwa smart..Nyooo!
Mmmh hii mupyaKila mmoja hupatwa na hali yake.. Wengine ndio kipindi cha kuwa romantic ile mbaya
Jamaa alikuona hujielewi, breeding ni nini?Sawa mkuu. Bt jarbu na hi ipo cku utanikumbka....
Khaah!! Hebu niache[emoji1787]Ww ni shahidi..Si umeona watoto wanaozaliwa bila viroja wanavyokuwa smart..
Yeah naonaga wengi Sana huwa hivoKama mimi nakuwa na hasira,usingizi sanaaa