Nimeishia hapabreeding
Kwanini mkuu?nimeishia hapa
Niko bize na PGOKwnn mkuu?
Sawa mkuu. Bt jarbu na hi ipo cku utanikumbka....niko bize na PGO
Kumbe...Kila mmoja hupatwa na hali yake.. Wengine ndio kipindi cha kuwa romantic ile mbaya
Kaka mkubwa wewe wa kwako( shemeji ytu) upatwa na hali ngn?Kila mmoja hupatwa na hali yake.. Wengine ndio kipindi cha kuwa romantic ile mbaya
Hasara mojawapo ya kuchanganya R na L๐๐๐๐ neno limeleta maana tofauti kabisaHivi mkuu unajua maana ya breeding?
Ungeendelea na kiswahili tu ili kupunguza kero ndogo ndogo kama hizi aseee
Wewe ukiwa kwenye hiyo hali huwa unakuwaje ?Habari za asubuhi wakuu?
Natumaini tu wazima wa afya, kwa wale wagonjwa polen!!
Neende moja kwa moja kwenye mada! Et wakuu mwanamke akiwa kwenye cku zake ( breeding), anakuwa na hasira Sana adi kumchukia mmewe/ mpenziwe.
Mimi ni mwanamme nipo katika mahusiano miezi 6 saiz na dada fulan toka sukuma land. Tatzo huyu dada, Kila akiingia tu breeding hataki nimpgie cm Wala kuchart nae ila akishatoka mambo yanakuwa poa kabsaa....!!
Ndo nauliza wakuu hii kitu ipo kwel kibailojia au napigwa changa la macho wakuu!! Nisaidiee wakuu maana jf haijawahi shindwa kitu
Kwa kuwa anaulizia masuala ya breeding ngoja nimsogezee kabisa kitabu, ukweli wote upo humi๐Hivi mkuu unajua maana ya breeding?
Ungeendelea na kiswahili tu ili kupunguza kero ndogo ndogo kama hizi aseee
Hahahaha yeye hateswi na hiyo hali wala hatesiKaka mkubwa wewe wa kwako( shemeji ytu) upatwa na hali ngn?
Wengine hujichukia hivyo usimlaumuKumbe...
Kama mimi nakuwa na hasira,usingizi sanaaaNi mood swings na si Wanawake wote huwa nazo haijalishi wako kwenye hali gani
Kwa kuwa anaulizia masuala ya breeding ngoja nimsogezee kabisa kitabu, ukweli wote upo humi๐
View attachment 2007741
Unaweza kuta yeye hajachanganya R na LHasara mojawapo ya kuchanganya R na L๐๐๐๐ neno limeleta maana tofauti kabisa