Hakuna namnaMmmmh ila mazoezi ya tumbo ysnataka moyo sanaaa asee
[emoji4] [emoji4] [emoji4] yani kwa uzuri ni mzuri ....kiuno kinaonekana tumbo... Shingo miguu..... Makalioo yaah sema anakitambiiiMimi binafsi sipendi mwanamke mwenye kitambi...kama ana nyama kote na yupo vzr yaan proper fraction its ok...lakini siyo kazidi sehem moja tu(Improper fraction)....Real Men Eat Flesh and not Bones...provided that it is proper fraction.[emoji3]
umefurahiiii eeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli eeenhKiukweli tumbo kwa mwanamke linaondoa ladha ajitahidi awe levo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sipendi kuwa na mwanamke mwenye kitambi,tena ukute ana takodogo[emoji23]anakua na mwonekano wa lodilofa