Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye kitambi...kama ana nyama kote na yupo vzr yaan proper fraction its ok...lakini siyo kazidi sehem moja tu(Improper fraction)....Real Men Eat Flesh and not Bones...provided that it is proper fraction.[emoji3]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] yani kwa uzuri ni mzuri ....kiuno kinaonekana tumbo... Shingo miguu..... Makalioo yaah sema anakitambiii
 
Kiukweli mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye kitambi.Wanawake waelewe kua kukitokea mabadiliko kwenye miili yenu,hasa vitambi,mnatuweka kwenye hali ngumu kwani mnapunguza mvuto.
 
Kiukweli mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye kitambi.Wanawake waelewe kua kukitokea mabadiliko kwenye miili yenu,hasa vitambi,mnatuweka kwenye hali ngumu kwani mnapunguza mvuto.
Oky
 
Back
Top Bottom