mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kipindi Yanga inajitafuta kabla GSM hajaokoa jahazi.
Kipindi yanga iko hoi kiuchumi kulikuwa na huyu kocha Mwinyi Zahera, tuliambiwa kuwa alikuwa akuwanunulia chakula Yanga na kulipa posho pale zinapochelewa.
Tukaambiwa ana apartment ufaransa na ubelgiji.
Baada ya Yanga kumtema nilisikia yupo Namungo nikastuka.Nilitegemea angeenda kufundisha ulaya au any national team humu africa maana Yanga yake chskula kikuu ikuwa mihogo lakini timu ilikuwa ikishinda,sasa ingekuwaje timu ingekuwa na uwezo kiuchumi?
Kilichoniacha hoi ni baada ya kupaki gari pembeni na kukimbia na kidumu oeyrol station kununua mafuta baada ya gari yake kuishiwa mafuta mitaa ya Nyerere Road.
Huo ubilionea siutaki