mwinyi zahera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera unapata wapi Kiburi cha Kusema Wanayanga hawana akili? Kwa nini huwa mnaona hili ndo tusi la kutufaa sisi?

    Hii ni dharau na kiburi cha hali ya juu. Wewe Zahera ulikuja Yanga hapa hata kuvaa hujui una vibukta tu tukakusaidia ukaanza hadi kuvaa suruali. Leo UNASEMA YANGA HATUNA AKILI.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera: Yanga walitaka kumpeleka Clement Mzize Singida kwa Mkopo, Mimi nikamshauri Nabi

    Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga, amesema Yanga walikuwa tayari kumpeleka Clement Mzize Singida kwa mkopo, lakini yeye alimshauri kocha Nabi asikubali. Ameongeza kwamba walitaka kumtoa Mzize wakati hajaanza hata mazoezi na timu kubwa, na hata baada ya barua kutoka Marseille, bado msimamo...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mwinyi Zahera ni bilionea? Nimemkuta mtaani gari yake imeishiwa mafuta

    Kipindi Yanga inajitafuta kabla GSM hajaokoa jahazi. Kipindi yanga iko hoi kiuchumi kulikuwa na huyu kocha Mwinyi Zahera, tuliambiwa kuwa alikuwa akuwanunulia chakula Yanga na kulipa posho pale zinapochelewa. Tukaambiwa ana apartment ufaransa na ubelgiji. Baada ya Yanga kumtema nilisikia...
Back
Top Bottom