Mwinyi Zahera unapata wapi Kiburi cha Kusema Wanayanga hawana akili? Kwa nini huwa mnaona hili ndo tusi la kutufaa sisi?

Mwinyi Zahera unapata wapi Kiburi cha Kusema Wanayanga hawana akili? Kwa nini huwa mnaona hili ndo tusi la kutufaa sisi?

Sodoku Myebusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,319
Reaction score
3,004
Hii ni dharau na kiburi cha hali ya juu. Wewe Zahera ulikuja Yanga hapa hata kuvaa hujui una vibukta tu tukakusaidia ukaanza hadi kuvaa suruali. Leo UNASEMA YANGA HATUNA AKILI.
 
Mimi ni mwanachama na shabiki wa klabu ya Yanga.

Tumefungwa ,ni kawaida kufungwa tuliingia kwenye mfumo.

Nadhani Kwa misimu michache hivi karibuni,tumeweza kumfunga mtaani wetu mara nyingi zaidi,lakini naipongeza klabu ya Simba Kwa kufuta uteja na kurejesha utamu wa Dabi ya Kariakoo,asilaumiwe kocha,mchezaji wala uongozi,ni matokeo ya mpira tu
 
Back
Top Bottom