Je, ni kweli Mwinyi Zahera ni bilionea? Nimemkuta mtaani gari yake imeishiwa mafuta

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kipindi Yanga inajitafuta kabla GSM hajaokoa jahazi.

Kipindi yanga iko hoi kiuchumi kulikuwa na huyu kocha Mwinyi Zahera, tuliambiwa kuwa alikuwa akuwanunulia chakula Yanga na kulipa posho pale zinapochelewa.

Tukaambiwa ana apartment ufaransa na ubelgiji.

Baada ya Yanga kumtema nilisikia yupo Namungo nikastuka.Nilitegemea angeenda kufundisha ulaya au any national team humu africa maana Yanga yake chskula kikuu ikuwa mihogo lakini timu ilikuwa ikishinda,sasa ingekuwaje timu ingekuwa na uwezo kiuchumi?

Kilichoniacha hoi ni baada ya kupaki gari pembeni na kukimbia na kidumu oeyrol station kununua mafuta baada ya gari yake kuishiwa mafuta mitaa ya Nyerere Road.

Huo ubilionea siutaki
 
Jali maisha yako mkuu, usipende kuushusha utu wa mwenzako ili nafsi yako ifurahi au kumuaibisha.
Suala la gari kuishiwa mafuta linaweza mkuta mtu yeyote hasa ambao kwa wakati huo wametingwa na hatimaye kupitiwa.
Mifumo ya gari kushindwa kusoma uwepo wa mafuta. Dharula ya foleni ndefu.
Dharula ya ATM au PayCard kutofanyakazi eneo ulilopo nk. Kwahiyo usipende kuhukumu sana kwa kigezo cha umaskini. Je, aliposhuka na Kidumu nani alimlipia hayo mafuta??
 
Ukaguliwe jinsia yako kwanza
 
Umeandika kwa akili nyingi sana na busara za kutosha sana mkuu, mleta uzi anaonekana ni chalii ambaye bado limbukeni wa maisha.
 
Hata Dk. Shika alikuwa bilionea! Ahahahahaha!!!
 
Una akili sana.
 
Angekuwa hana pesa hata hayo mafuta ya kwenye kidumu asingemudu
 
Kilichoniacha hoi ni baada ya kupaki gari pembeni na kukimbia na kidumu oeyrol station kununua mafuta baada ya gari yake kuishiwa mafuta mitaa ya Nyerere Road.
Kawaida Sana hii ..
 
oyreol station ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…