Je, ni kweli Nikk wa II ameachika?

Mwalimu wa tuishen acha mambo ya uduwanz. Mada imeletwa mezani halafu unaandika fyongo. Changia mada. Mada kama hizi za umbea ni bomba sana zinachangamsha jamvi. Shusha nondo za hatariiii na tema madini yaliyojitosholeza.

Woodland aka countywide umebaki kushambulia chadema tu kumaliza hasira zako za kuchapiwa. Kesho lema anatinga nchini.

Unaseemajee unaseemajee pah paah pah

King Kong III
 
Tushajadili hili tushalimaliza na tunelifunga rasmi.

Achana nalo fanya Mambo mengine.
Mkuu hili bado lipo sana kwasababu hamna tukio lengine kubwa limetokea kulifuta hata yule jamaa aliyegongwa na mwendokasi Nick alidhani tukio hilo lingezima lakini wapii.

Ishu ya Masanja alivyochapiwa aliponea pale Mulamula alivyotenguliwa. Watu tukahamisha mawazo. Halafu haikukaa sawa precion air ikapata ajali na kuibuka Majaliwa na ndio tukapotezea mazimaa Masanja akapona.
 

Huyo Boya Countrywide kapagawa baada ya kuchapiwa ,muda mwingi anatumia kuisema chadema badala ya kuijenga familia yake na ndiyo maana akamwagwa mazima na joan.

Nasemaje Nasemaje piga bomu la mwisho paaaaaaaah.
 
Huyo Boya Countrywide kapagawa baada ya kuchapiwa ,muda mwingi anatumia kuisema chadema badala ya kuijenga familia yake na ndiyo maana akamwagwa mazima na joan.

Nasemaje Nasemaje piga bomu la mwisho paaaaaaaah.
Nasemajeee nasemajeee na achapiwe tu 😅 Piga risasi ya kichaga yewomiiii 😅😅
 
Oya andika vizuri sio wote tupo Dar, wengine tupo Kyagata tunachunga kondoo
 
JF sometimes ni kuondoana stress ase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…