Je, ni kweli Nyerere aliwatenga Waislamu?

Je, ni kweli Nyerere aliwatenga Waislamu?

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
593
Reaction score
2,219
Kuna mwazuoni humu huwa anaandika sana kuhusu waislam na uhuru naweza sema mzee said ni mwanahistoria mzuri sana ila kafunikwa koti la udini

Ni hivi Nyerere angekuwa na chuki na hao waislam asingemweka hata huyo mzee mwinyi awe rais mzee kawawa hao kina salim na wengine wengi walikuwa kwenye cabinet yake

Haya turudi kwenye hao wazee wa TANU walikuwa wamejichimbia pale kariakoo kucheza BAO na kukaa vibarazani walikuwa ba elimu gani ya kuwekwa kwenye government wengi ya wale wazee wa kariakoo kielimu walikuw ngumbaru tu....sasa toka lini serikali ingejaza mangumbaru ya kariakoo

Kingine mzee said kipindi cha nyerere kulikuwa kuna ukosefu wa wasomi hivyo popote angeoneka msomi awe mkristo au muislam serikali ilimchukua

Ila kwa bahati mbaya waislam wengi hadi leo hii elimu kwenu sio kipambaumbele japo sijasema kuwa hakuna wasomi ila jamii nyingi za kiislam elimu huwa sio kipaumbele wengi wenu mnawaza kwenda mbinguni kwenda kukutana na mabrika 72 ...yaani elimu akhera ....

So kwa maana hiyo mzee acha kabisa kujifanya una mponda nyerere wakati unajua vizee vingi vya kariakoo miaka ile ya uhuru vilikuwa havina elimu zaidi ya kucheza ma BAO

Waingereza walitaka kuacha nchi kwa mtu mwenye elimu na sio NGUMBARU TU LA KARIAKOO

Kwa maoni yangu nyerere hakuwa mdini maana cabinet yake ilijaa wasomi wa dini zote sifa ilikuwa elimu wa kwanza ndo upewe uwaziri

Najua utasema ooh waislam wasomi walikuwepo kama kina sykes ila nasema walikuwa wachache mno hata ukifanya comparison na wakristo

Haya la mwisho waislam nchi wako 32% wakristo 50% so mzee unaweza ona

Cha mwisho cha nyongeza dini ya kiislam huwa haisupport elimu duni hasa western education .....ndo maana hata hao wazee wa kariakoo elimu walikuwa hawaza zaidi ya elimu ya ngumbaru tu

Hata karume tu wa znz utanisaidia elimu alikuwa hana pia zaidi kujua kusoma na kuandika tu .... pia alikuwa mtu wa malawi na sio mznz
 
Ngoja @ mohamed said aje kuleta histora yake ya kusambaza udini
 
Kuna mwazuoni humu huwa anaandika sana kuhusu waislam na uhuru naweza sema mzee said ni mwanahistoria mzuri sana ila kafunikwa koti la udini

Ni hivi nyerere angekuwa na chuki na hao waislam asingemweka hata huyo mzee mwinyi awe rais mzee kawawa hao elimu alikuwa hana pia zaidi kujua kusoma na kuandika tu .... pia alikuwa mtu wa malawi na sio mznz
Hakuna ukweli hapo.
 
Zamani watu kama huyu tulikuwa tunamuita "JUNYA" sijui siku hizi mnawaitaje watu kama huyu.
 
Hizi takwimu umezipata wapi? Ebu tuwekee huo ushahidi.
Nawapa tena hiyo ndogo ni hivi mwaka 1980 C.I.A shirika la ujasusi lilifanya sensa ya siri kupitia shirika la takwimu duniani PEW...... walikuwa kujua kuwa waislam tanzania wako 32% wakristo 50% na wengine 18%

Basi kupita mfumo wa sensa wa sampling hadi sasa kuanzia 2020 waislam wako 34% wakristo 63% .....

Sio tanzania tu ni nchi zote kusini mwa jangwa la sahara unaongezeka sababu ni hawa wachungaji wa mitaani mfano kina mwamposa

Ila kwa ulaya uislam unakuwa kwa kasi kubwa sana sababu sio watu kuhamia kwenye uislam bali waislamu wanazaa sana

Mfano zanzibar pia kumkuta mtu ana watoto 10 ni kawaida sana so hadi kule ulaya hali hiyo hiyo

Ila in world stage kufikia 2300 hizi dini zote mbili zitakuwa hazina nguvu tena.......
 
Haya tufanye hayo maelezo yako ni ya kweli tuwekee hiyo link na siye kina tomaso tujiridhishe.
 
Back
Top Bottom