Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Yeye alipata majanga ya vita ya Uganda uchumi ukaporomoka njaa ikaikumba nchi tukala unga maarufu yanga nchi ikamshinda ikabidi abwage manyanga kwa sababu mambo yalizidi kumwendea vibaya huku mabepari nao hawakumuacha salamaHv jamani kwa wale wahenga ni kweli nyerere hakuwahi.kupata majanga ya kupinduka kwa meli,vivuko kama marais wengine wote??yani kwamba nyerere pekee pamoja na kuongoza mda mlefu lakini hakupata pigo kama hili kulingamisha awamu za marais wengine??
Mkuu kwani tukizungumzia kuhusu majanga kama haya kwani kipindi hicho hakukuwa na vivuko??achana na ajli zingine za kawaida hebu tuangalie hizi za majini naona kama kila rais kaonja hii isipo kuwa yeye.Lakini pia ujue technology ilikuwa si kubwa sana na watu walikuwa wamoja sana. Hii ya viongozi kuwaona wananchi kama maadui haikuwapo. Watu walikuwa na nidhamu sana
Kwa nn hakupata majanga kama haya kwani kipindi kile hakukuwa na usafiri wa majini??mbona awamu zingine zote marais wamepita katika hadha hii??Yeye alipata majanga ya vita ya Uganda uchumi ukaporomoka njaa ikaikumba nchi tukala unga maarufu yanga nchi ikamshinda ikabidi abwage manyanga kwa sababu mambo yalizidi kumwendea vibaya huku mabepari nao hawakumuacha salama
Sky una manisha kwa sasa viongozi hawajibiki kwa matukio yanayo tokea,unazan angekuwa nyerere kwa hili watu wangewajibika kwa stail gani?Enzi za utawala wa Nyerere mzee Mwinyi aliwajibika baad ya vifo vya mahabusu Shinyanga akiwa waziri wa mambo ya ndani.
Ukumbuke kuwa baada ya uhuru njia za usafiri alizoacha mkoloni zilikuwa nzuri kwa tajiri an miaka 10-15 ya mwanzo ya utawala wa mwalimu.Kwa nn hakupata majanga kama haya kwani kipindi kile hakukuwa na usafiri wa majini??mbona awamu zingine zote marais wamepita katika hadha hii??
Iliwahi kutokea kinesi 1979 iliua kama hii ya ukerewe japo hii ni kubwa kidogo . Na ndio kisa cha kujengwa daraja la kirumi.Mkuu kwani tukizungumzia kuhusu majanga kama haya kwani kipindi hicho hakukuwa na vivuko??achana na ajli zingine za kawaida hebu tuangalie hizi za majini naona kama kila rais kaonja hii isipo kuwa yeye.
Of course yes, serikali inawathibitishia raia kuwa itajifunza kutoka na na makosa.Sky una manisha kwa sasa viongozi hawajibiki kwa matukio yanayo tokea,unazan angekuwa nyerere kwa hili watu wangewajibika kwa stail gani?