Tetesi: Je ni kweli Nyerere hakupata changamoto hii???

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
892
Reaction score
683
Hv jamani kwa wale wahenga ni kweli nyerere hakuwahi.kupata majanga ya kupinduka kwa meli,vivuko kama marais wengine wote??yani kwamba nyerere pekee pamoja na kuongoza mda mlefu lakini hakupata pigo kama hili kulingamisha awamu za marais wengine??
 
Yeye alipata majanga ya vita ya Uganda uchumi ukaporomoka njaa ikaikumba nchi tukala unga maarufu yanga nchi ikamshinda ikabidi abwage manyanga kwa sababu mambo yalizidi kumwendea vibaya huku mabepari nao hawakumuacha salama
 
Lakini pia ujue technology ilikuwa si kubwa sana na watu walikuwa wamoja sana. Hii ya viongozi kuwaona wananchi kama maadui haikuwapo. Watu walikuwa na nidhamu sana
 
Mkuu kwani tukizungumzia kuhusu majanga kama haya kwani kipindi hicho hakukuwa na vivuko??achana na ajli zingine za kawaida hebu tuangalie hizi za majini naona kama kila rais kaonja hii isipo kuwa yeye.
 
Yeye alipata majanga ya vita ya Uganda uchumi ukaporomoka njaa ikaikumba nchi tukala unga maarufu yanga nchi ikamshinda ikabidi abwage manyanga kwa sababu mambo yalizidi kumwendea vibaya huku mabepari nao hawakumuacha salama
Kwa nn hakupata majanga kama haya kwani kipindi kile hakukuwa na usafiri wa majini??mbona awamu zingine zote marais wamepita katika hadha hii??
 
Enzi za utawala wa Nyerere mzee Mwinyi aliwajibika baad ya vifo vya mahabusu Shinyanga akiwa waziri wa mambo ya ndani.
Sky una manisha kwa sasa viongozi hawajibiki kwa matukio yanayo tokea,unazan angekuwa nyerere kwa hili watu wangewajibika kwa stail gani?
 
Hapa naona ni suala la. Kumbukbu halizingatiwi sana Tanzania..... Hata hili baada ya miaka 30 zifafutikatuu
 
Kwa nn hakupata majanga kama haya kwani kipindi kile hakukuwa na usafiri wa majini??mbona awamu zingine zote marais wamepita katika hadha hii??
Ukumbuke kuwa baada ya uhuru njia za usafiri alizoacha mkoloni zilikuwa nzuri kwa tajiri an miaka 10-15 ya mwanzo ya utawala wa mwalimu.
 
Mkuu kwani tukizungumzia kuhusu majanga kama haya kwani kipindi hicho hakukuwa na vivuko??achana na ajli zingine za kawaida hebu tuangalie hizi za majini naona kama kila rais kaonja hii isipo kuwa yeye.
Iliwahi kutokea kinesi 1979 iliua kama hii ya ukerewe japo hii ni kubwa kidogo . Na ndio kisa cha kujengwa daraja la kirumi.

Kipindi hicho chanzo cha habari ni only RTD , UHURU NA Daily news
 
Sky una manisha kwa sasa viongozi hawajibiki kwa matukio yanayo tokea,unazan angekuwa nyerere kwa hili watu wangewajibika kwa stail gani?
Of course yes, serikali inawathibitishia raia kuwa itajifunza kutoka na na makosa.
 
Back
Top Bottom