Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #21
Tuko wachache wa juzi ya hizi nyumbaMafundi wengi bongo hawazijulii hz nyumba. Ila wanajifichia kwenye ukikosea itavuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko wachache wa juzi ya hizi nyumbaMafundi wengi bongo hawazijulii hz nyumba. Ila wanajifichia kwenye ukikosea itavuja
For sureHizo nyumba ni gharama sana ukizianzia mwanzo ila watu wanakurupuka washajenga boma ili aokoe bati na mbao ndio wanaanza kufoji gata/njia za maji na matokea yake ndio wanakuja kufurahia SHOW kipindi cha mvua.
[emoji38]hao lazima wajiandae kuloa majiKuna watu wanajenga slope wanazungushia ukuta wanaita contemporary
Mimi majirani zangu wote waliojenga hivo,zinavuja zotenna jirani hapa ameweka huo mtindo
hata hajaamia ishaanza kuvuja
Huu ujenzi sio wa watu masikiniNi ujenzi wa kizembe tu ndio inapelekea hizi nyumba kuonekana changamoto ila ni ujenzi mzuri plus zina muonekano wa kisasa sana na hata finishing yake huwa inakuwa tamu sana.
mafundi washakula hela ya ufundi huwaoni tenaMimi majirani zangu wote waliojenga hivo,zinavuja zote
Kizuri gharama. Ukienda kuijenga hii kwa mentality ya mleta mada eti upunguze gharama basi itakula kwako. ukweli ni kuwa gharama huenda ikawa kubwa zaidi kuliko hata pitch roofMimi majirani zangu wote waliojenga hivo,zinavuja zote
Yale mabati ya mgongo mpana hata kwa paa la kawaida sometimes yanavuja, sasa ukiweka hilo paa flat jiandae kufuga kambale.mafundi washakula hela ya ufundi huwaoni tena
Nililala lodge yakuitwa Password, Tabata Segerea, ndani iko poa kinoma nilishangaa kuona gypsum boards zote ziko tepetepe
asubuhi natoka nachungulia juu naona ni huo mtindo wa roof, nikasema kayakanyaga
kwa utaalamu wangu huo mtindo unavutia ila sio hii ya kwenda eti nipinguze gharama hapo lazima mtu uumie.wengi hukimbilia kuokoa gharama za bati ili hali maandalizi ya awali hayakufanyika
jirani yangu hapa numuonea huruma aisee, yaani kumevuja, umekula ukuta juu mpaka chini, ukuta wote umekua kijani, na hapo hajahamia( hajamaliza pia )Yale mabati ya mgongo mpana hata kwa paa la kawaida sometimes yanavuja, sasa ukiweka hilo paa flat jiandae kufuga kambale.
Nafikiri kama baadhi ya wadau wanavyosema hapa ni aina ya ujenzi unaohitaji utaalamu maalumu na wala siyo ujenzi wa mtu anayetafuta kuokoa gharama.jirani yangu hapa numuonea huruma aisee, yaani kumevuja, umekula ukuta juu mpaka chini, ukuta wote umekua kijani, na hapo hajahamia( hajamaliza pia )
Mbaya zaidi mafundi wengi hawasemi ukweli ili waipate kazi.Bora ujenge kawaida kuliko kujenga kwa akili ya kuokoa gharama. Ukipotea 'step' utajikuta hiyo gharama unayoikwepa itazidi kwa kufanya marekebisho ya mara kwa mara.
Nani alikwambia ni gharama nafuu? Kwanza hizo nyumba huwa na madoido mengi na zinatumia Sana saruji so gharama huwa ni zaidi ya zile traditional houses.Hidden roof houses ni Kama hizi hapa
View attachment 2387836View attachment 2387839View attachment 2387840
View attachment 2387836View attachment 2387839View attachment 2387840
Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%.
Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia.
Kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa Cha mbao na bati gharama ya fundi mpauaji nayo itapungua.
NAMNA YA KUJENGA NYUMBA ZA AINA HII
1. Hidden roof maandalizi yake yanaanzia tangu pale msingi unapojengwa.
- zitaandaliwa mapema kabisa njia za kupitisha pipe za maji
- Mchoro lazima uoneshe mapokeo ya maji Toka kwenye bati (gata)
- Hidden roof jengo lake linakuwa na vikolombwezo vingi, ambavyo vinahitaji umakini mkubwa kuvijenga.
2. Gata. HII ni mifereji ya kupitisha maji inayojengwa dalini. NA HAPA NDIO PANAHITAJI UMAKINI MKUBWA SANA. ukikosea hapa utaichukia nyumba Yako mile.
Ili nyumba hii isivuje lazima paa zake ziwe ndogo ngogo, na ili paa ziwe ndogo dogo ni lazima mizunguko ya gata iwe ya kutosha. Kuweka mizunguko ya kutosha ya gata ni gharama na inahitaji maarifa makubwa.
CHANGAMOTO
1. Gharama ya kujenga boma huongezeka tofauti na nyumba ya kawaida.
Sababu ya kuongezeka gharama ya ujenzi ni kutokana na ujenzi wa gata, boma kuwa refu kwenda juu na nk.
- Materials huongezeka mf. Tofali,mondo,cement nk.
-Labour charge huongezeka kwasababu ya complexity ya ujenzi wake. (HAPAHITAJI FUNDI NJAA HAPA)
2. Fundi lazima awe mbobezi. ZINGATIA HILI
3. Kuvuja. KAMA UTADHARAU KIMOJAWAPO NILICHOKUELEZA HAPO JUU. basi jua kuwa lazima nyumba Yako ivuje.
KARIBUNI SANA
0655173113
Fundi mahiri wa ujenzi
Email: pmoses@gmail.com
Ahsante.
Gharama za paa zilizidi sana yaani....kama msingi ni 20mil paa ni 20mil...what the fvckHidden roof houses ni Kama hizi hapa