Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

Mimi majirani zangu wote waliojenga hivo,zinavuja zote
mafundi washakula hela ya ufundi huwaoni tena

Nililala lodge yakuitwa Password, Tabata Segerea, ndani iko poa kinoma nilishangaa kuona gypsum boards zote ziko tepetepe

asubuhi natoka nachungulia juu naona ni huo mtindo wa roof, nikasema kayakanyaga
 
mafundi washakula hela ya ufundi huwaoni tena

Nililala lodge yakuitwa Password, Tabata Segerea, ndani iko poa kinoma nilishangaa kuona gypsum boards zote ziko tepetepe

asubuhi natoka nachungulia juu naona ni huo mtindo wa roof, nikasema kayakanyaga
Yale mabati ya mgongo mpana hata kwa paa la kawaida sometimes yanavuja, sasa ukiweka hilo paa flat jiandae kufuga kambale.
 
jirani yangu hapa numuonea huruma aisee, yaani kumevuja, umekula ukuta juu mpaka chini, ukuta wote umekua kijani, na hapo hajahamia( hajamaliza pia )
Nafikiri kama baadhi ya wadau wanavyosema hapa ni aina ya ujenzi unaohitaji utaalamu maalumu na wala siyo ujenzi wa mtu anayetafuta kuokoa gharama.
 
Bora ujenge kawaida kuliko kujenga kwa akili ya kuokoa gharama. Ukipotea 'step' utajikuta hiyo gharama unayoikwepa itazidi kwa kufanya marekebisho ya mara kwa mara.
Mbaya zaidi mafundi wengi hawasemi ukweli ili waipate kazi.

Na akili za wabongo wengi anakuita ww ufanye mahesabu then anawaita wengine ili apime naninmwenye gharama ya chini.

Fundi anakupa hesabu ya chini ili umpe kazi.na ww kama hujui ishu za ujenzi bila kureason unampa kazi.
 
Nani alikwambia ni gharama nafuu? Kwanza hizo nyumba huwa na madoido mengi na zinatumia Sana saruji so gharama huwa ni zaidi ya zile traditional houses.
 
Gharama za paa zilizidi sana yaani....kama msingi ni 20mil paa ni 20mil...what the fvck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…