Je ni kweli ombaomba wa tanzania, wauza bange na gongo wamejazana huko?

Je ni kweli ombaomba wa tanzania, wauza bange na gongo wamejazana huko?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Miongoni mwa mambo yanayonikera mno ni wakenya kujitapa, ya kwamba Tanzania imejaza Omba Omba Kenya, inaniumiza sana sana, serekali ilichunguze hili ione jinsi gani itawasaidia tofauti na wanavyokwenda huko na kuiaibisha nchi yetu,
Tanzania ione jinsi ya kumaliza tatizo hilo, endapo kama ni la kweli, nilikuwepo huko majuzi lakini sikubahatika kumuona hata mmoja!
 
watanzagiza hawajui how poor and underdeveloped tanzagiza is, anajiangalia yeye situation yake kwa kuwa anaishi vizuri kwa wizi ofcourse basi anafikiri kila mtu tanzagiza anaishi hivyo, tanzagiza haiwezi vita dhidi ya kenya, tanzagiza ni mtoto sana kwa kenya, ukienda nairobi kuna soko maalumu kabisa watanzagiza hapo wanauza mboga mboga wanatokea wengi wao rombo na maeneo ya karibu, sijagusia gereji bubu, wauza kuku, wapiga picha ktk tanzagiza wanaotafuta maisha nrb.

btw kutokuwa na uwezo hata wa kuelewa how poor and backward jamii iliyokuzunguka is na kudhania kwamba ni jamii iliyo na maisha mazuri ni kielelezo tosha cha low iq …
 
Back
Top Bottom