Je ni kweli Pof. Kabudi anamaanisha anachokisema?

Je ni kweli Pof. Kabudi anamaanisha anachokisema?

Mr fedha

Member
Joined
May 22, 2026
Posts
88
Reaction score
110
Jana kwenye mkutano wa baraza la vyama 18, Prof. Kabudi kasema mfumo wa vyama vingi si uadui wala uasama. Sasa kama mfumo wa vyama vingi si uasama yeye atuambie:
1: Kwa nini wao kama ccm na polisi wamemfungulia mtu kesi hewa ya uhaini ili kumkomoa?
2: Kwa nini wanachama wa Chadema wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi?
3: Kwa nini yeye na mkuu wake wanang'ang'aniza Mh.Lissu ahukumiwe hukumu hewa na yeye kukubali kutumika kuandika hukumu dhidi ya Lissu?
4: Kwa nini Chadema iandamwe na vyombo vya dola na hata kufikia hatua ya kuifungia kufanya shughuli za kisiasa?
 
Back
Top Bottom