Je ni kweli Pof. Kabudi anamaanisha anachokisema?

Mr fedha

Member
Joined
May 22, 2026
Posts
88
Reaction score
110
Jana kwenye mkutano wa baraza la vyama 18, Prof. Kabudi kasema mfumo wa vyama vingi si uadui wala uasama. Sasa kama mfumo wa vyama vingi si uasama yeye atuambie:
1: Kwa nini wao kama ccm na polisi wamemfungulia mtu kesi hewa ya uhaini ili kumkomoa?
2: Kwa nini wanachama wa Chadema wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi?
3: Kwa nini yeye na mkuu wake wanang'ang'aniza Mh.Lissu ahukumiwe hukumu hewa na yeye kukubali kutumika kuandika hukumu dhidi ya Lissu?
4: Kwa nini Chadema iandamwe na vyombo vya dola na hata kufikia hatua ya kuifungia kufanya shughuli za kisiasa?
 
Sasa hivi kuna bunge la IPU linafanyika hapa kwa hiyo lazima afunike kombo mwanaharamu apite!
 
Tuone sasa kama na Kabudi atatakiwa kujiuzulu iwe kwa hiali au kwa lazima. Nchimbi kabla ya kuhamasisha kudai Katiba, alisema sana kauli za namna hii.... Matokeo yake ametengenezewa Dunia yake kama Abood Jumbe alivyofanyiwa. Njia aliyopitishwa PolePole ni mfano mwingine wa kiburi cha watawala na chama chao chakavu.
 
Jana kwenye mkutano wa baraza la vyama 18, Prof. Kabudi kasema mfumo wa vyama vingi si uadui wala uasama. Sasa kama mfumo wa vyama vingi si uasama yeye atuambie:
1: Kwa nini wao kama ccm na polisi wamemfungulia mtu kesi hewa ya uhaini ili kumkomoa?
2: Kwa nini wanachama wa Chadema wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi?
3: Kwa nini yeye na mkuu wake wanang'ang'aniza Mh.Lissu ahukumiwe hukumu hewa na yeye kukubali kutumika kuandika hukumu dhidi ya Lissu?
4: Kwa nini Chadema iandamwe na vyombo vya dola na hata kufikia hatua ya kuifungia kufanya shughuli za kisiasa?
Mwanasiasa yeyote akikuambia kumekucha katana,ama kahakiki Kwanza ndiyo useme kweli kumekucha,kwani huenda anakuamsha usiku wa manage ili uliwe mafisi.
 
Jana kwenye mkutano wa baraza la vyama 18, Prof. Kabudi kasema mfumo wa vyama vingi si uadui wala uasama. Sasa kama mfumo wa vyama vingi si uasama yeye atuambie:
1: Kwa nini wao kama ccm na polisi wamemfungulia mtu kesi hewa ya uhaini ili kumkomoa?
2: Kwa nini wanachama wa Chadema wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi?
3: Kwa nini yeye na mkuu wake wanang'ang'aniza Mh.Lissu ahukumiwe hukumu hewa na yeye kukubali kutumika kuandika hukumu dhidi ya Lissu?
4: Kwa nini Chadema iandamwe na vyombo vya dola na hata kufikia hatua ya kuifungia kufanya shughuli za kisiasa?
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
5.kwa nini ccm inawateka watu na kuwapoteza?
 
Kwa Magufuli aling'aa tukaaminishwa na uprofesa wake kuwa ni kiongozi wa maana!

Kumbe ni kiongozi wa hovyo kabisa kutokea nchini mwetu.
 
Hostility ya ccm dhidi ya cdm halitaji maelezo Dunia nzima wanajua.Ndiyo maana cdm inajihami kama nyoka
 
Hivi Kabudi nae mtu wa kumsikiliza? Huyu aliyesema katolewa jalalani, na kumuona Magufuli ni Mungu.
Zee haramu na la hovyo kabisa.
Hata ningekuwa mimi unatoka kwenye mshahara wa 1m ghafla tu kwa siku unalamba zaidi 2m utaacha kumsifia Magu!
 
Tuone sasa kama na Kabudi atatakiwa kujiuzulu iwe kwa hiali au kwa lazima. Nchimbi kabla ya kuhamasisha kudai Katiba, alisema sana kauli za namna hili.... Matokeo yake ametengenezewa Dunia yake kama Abood Jumbe alivyofanyiwa. Njia aliyopitishwa PolePole ni mfano mwingine wa kiburi cha watawala na chama chao chakavu.
Huyu wanamtumia sana hata kuandika hukumu bandia kwa wahasimu wa watawala kwa hiyo hawawizi kumuondoa labda mwishoni mwa safari 2030 au 2029
 
Jana kwenye mkutano wa baraza la vyama 18, Prof. Kabudi kasema mfumo wa vyama vingi si uadui wala uasama. Sasa kama mfumo wa vyama vingi si uasama yeye atuambie:
1: Kwa nini wao kama ccm na polisi wamemfungulia mtu kesi hewa ya uhaini ili kumkomoa?
2: Kwa nini wanachama wa Chadema wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi?
3: Kwa nini yeye na mkuu wake wanang'ang'aniza Mh.Lissu ahukumiwe hukumu hewa na yeye kukubali kutumika kuandika hukumu dhidi ya Lissu?
4: Kwa nini Chadema iandamwe na vyombo vya dola na hata kufikia hatua ya kuifungia kufanya shughuli za kisiasa?

..Prof.Kabudi amejizima data.

..kwake yeye Tanzania ni kama imeganda ktk zama za Mwalimu Nyerere za ujenzi wa taifa na harakati za ukombozi kusini mwa Afrika.

..kingine ni kwamba inaelekea Prof.Kabudi ameamua kujidanganya kwamba utawala anaoutumikia haujahusika na umwagaji damu wa kizembe na makusudi.

..tuna matatizo Tanzania na Prof kwa kutokujielewa au kwa makusudi ameamua kukausha, kupotezea, au kupotosha.
 
Jana kwenye mkutano wa baraza la vyama 18, Prof. Kabudi kasema mfumo wa vyama vingi si uadui wala uasama. Sasa kama mfumo wa vyama vingi si uasama yeye atuambie:
1: Kwa nini wao kama ccm na polisi wamemfungulia mtu kesi hewa ya uhaini ili kumkomoa?
2: Kwa nini wanachama wa Chadema wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi?
3: Kwa nini yeye na mkuu wake wanang'ang'aniza Mh.Lissu ahukumiwe hukumu hewa na yeye kukubali kutumika kuandika hukumu dhidi ya Lissu?
4: Kwa nini Chadema iandamwe na vyombo vya dola na hata kufikia hatua ya kuifungia kufanya shughuli za kisiasa?
Kwan ww wasiwasi wako nn, au unahisi anatumia tumbo kuongea...
 
Back
Top Bottom