Chama kipya ni muhimu sana sisi wamachinga tunakisubiri kwa hamu kubwa.
Tatizo lako ni hofu ya chama kipya kuchukua wanachama wenu wa Chadema hakuna kingine.Chama kipya kitakachoundwa na ccm kwa uratibu wa Tiss! Kweli mnaamini bado kuna watu wamelala kwa hizi drama fake za CCM? Muulizeni Zito Kabwe nini kimetokea mpaka sasa.
dala ya kuwahoji wale wahuni waliotengeneza mgao wa umeme bandia na kuingia mkataba na wahindi kuendesha tanesco na kununua 'Satellite monitoring' kwa gharama ya shilingi bilioni 70, mnaenda kuwahoji wazalendo Bashiru na HPP!
Unaweza nitajia mpendwa wako aliyeokotwa kwenye kiroba?Bora wale wa zamani hata kama walikuwa mafisadi lakini hatukuokota wapendwa wetu kwenye viroba kama ilivyokuwa enzi za Godfather..Tena wakiendelea kupiga domodomo nao waunganishwe kwenye kesi ya ugaidi
Mpendwa wangu mimi wewe anakuhusu nini?Unaweza nitajia mpendwa wako aliyeokotwa kwenye kiroba?
Kama kuokotwa kwa mpendwa wako hautuhusu unasema wapendwa wako waliokotwa ili iweje.Mpendwa wangu mimi wewe anakuhusu nini?
Hio kazi labda kama wameifanyia familia yako [emoji706][emoji706][emoji706]Uongo mtupu.
Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Amejua tangu lini? Kujua kwake kumeisaidiaje nchi? Sasa ndio atawataja wakati hakuwataja miaka yote hiyo? Wasenger kweli kweli nyie.Bashiru anawajua waliokuwa wamejimilikisha mali za chama kwa maslahi ya matumbo yao.
Hao ni zaidi ya wahujumu uchumi
Mnyonge ni ww na familia yako,mwendazake aliwaweza sana kuwaita wanyonge huku anawaumizaNi kweli waliwasumbua sana mafisadi na wahuni ila kwa sisi wanyonge tuko pamoja nao iwe mvua au jua.
Afadhali na ww umemwuuliza mjinga huyounasemea WATZ mkeo na watoto au Ni hawa WATZ wote milioni 60+
Jizi hiloTuombe Mungu mkuu, sasa ukilicheki jitu kamabulembo pale linachoongea mbele yetu wananchi ni nini zaid ya kiburi na dharau tupu,
Linaonesha taswira ya ukigogo ndani ya chama na hiyo ndio inarudisha yaleyale mambo ya ufisadi,
Malizia kabisa Kwa kuandika hasa Ile kazi ya kuwanunua wapinzani na kuwarejeahea nafasi zao za awali bila kupingwa! Hakika hiyo ni kazi nzuri isiyotia shaka lakini watuambie Sasa fedha zile ziltoka kwenye kasma ipo iliyopitishwa na bunge?Uongo mtupu.
Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Nyie ndio wasiojulikana sioKama kuokotwa kwa mpendwa wako hautuhusu unasema wapendwa wako waliokotwa ili iweje.
Wametumia pesa za serikali kununua wapinzani. Wametumia dola kuibakiza CCM kushika dola.Uongo mtupu.
Bashiru na Polepole wamefanya kazi isiyo tia shaka kwa ccm na watanzania
Hakuna aliye msafi ccm so watamalizana wenyeweTaarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati wakunyamazisha watu wanaoibuka na kutaka kumkwamisha Mwenyekiti wakati watu hao hakuna SIKU wamewahi kumwoji JPM.
Swali, je watavumulia kuhojiwa nakwenda mahakama ya mafisadi au watakaa kimya na kwenda kuomba radhi kama Nape? Wakinyamazishwa watakuwa watii Kwa chama Cha mapinduzi? Ikumbukwe tayari dhambi ya ubaguzi ndani ya CCM imeanza kufanya kazi na Bashiru anaitwa mwana CUF huku kauli mbiu ya kurejesha chama Kwa wanachama ikipamba moto. Gwajima aliona gereza la mahabusu akanyamaza, tusubiri Polepole na bashiru
Kama anawajua ni kwanini ripoti yake hajawahi kuziweka hadharani ili Kila mwanaccm aisome? Mwambie aiweke hapa wanaccm wamsaidie kuwaadhibu wote alioshindwa kuwaadhibu akiwa mtendaji mkuu wa ccm! Kinyume chake anastahili kubagazwa na kidhalilishwa na aliowatuhumu! Asinyamaze ajibu mapigo!Bashiru anawajua waliokuwa wamejimilikisha mali za chama kwa maslahi ya matumbo yao.
Hao ni zaidi ya wahujumu uchumi
Hakuna mtu ambaye hajulikani kwa wote. Lakini anaweza asijulikane kwa wengiNyie ndio wasiojulikana sio
Nimeshangaa sana leo, yaani Muhuni Bulembo amtaje vile mzee Mangula????Mi nilisema tunahitaji chama pinzani kipya ccm mama imeshatekwa hiyo,
Ila kipo karibu, kwa Mangula kutajwa vile na fisadi bulembo, naamini sasa mpasuko wa pazia la hekalu karibu unafika chini,
Afu lilivyo lipumbavu na punguani eti namzidi Polepole hela najua hana hela huyu mtoto ahahahaha senge kweli!Tuombe Mungu mkuu, sasa ukilicheki jitu kamabulembo pale linachoongea mbele yetu wananchi ni nini zaid ya kiburi na dharau tupu,
Linaonesha taswira ya ukigogo ndani ya chama na hiyo ndio inarudisha yaleyale mambo ya ufisadi,