Je, ni kweli ponyeto ni miongoni mwa sababu za kuota mvi mapema kwa vijana?

Je, ni kweli ponyeto ni miongoni mwa sababu za kuota mvi mapema kwa vijana?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
ladies and gentlemen,
sijatangaza uanze kuchungulia kidevu au kichwa cha huyo kijana mwenzako hapo jirani, kama ana mvi ama la, halafu kisha uanze kumtathimini kana kwamba ni mpiga nyeto; hapana sijasema wala kumaanisha hivyo, bali nimeuliza tu, sio kwa ubaya lakini kwa wadau kwamba,

kwenye hili la kuota mvi kidevuni au kichwani kwa vijana, pamoja na sababu nyingine tele, eti kuna ukweli wowote kwamba kupiga nyeto sana ndio sababu ya msingi kwa vijana wengi vijijini na mijini, kuanzia miaka 25 kuota mvi mapema na kuonekana mababu?

yaani eti ni sawa na mbabu alie kua akifanya mapenzi kwa miaka 70 bila nyeto, sasa kwa nyeto za vijana wa sasa kwa kupiga punyeto miaka 15 mfulilizo amejikuta nae amekua sawa na Mzee wa miaka70, aliejamiiana kikawida tu kwa miaka 70,

so,
kijana wa sasa mpiga nyeto wa umri wa miaka 35, anafanana kabisa mvi na performance on bed na Mzee wa miaka70 na tena huwenda kijana mpiga nyeto akafeli 🐒

mbona zamani za kale hatukuonaga vitu hivi ndrugo zango 🐒
 
Mastubation (punyeto) si nzuri na si solution ya kuondoa hisia za kingono ila mna overrate effects zake tukija kitabibu effects zake ni chache kulinganisha na mnazozitaja .

N.b
Ni vyema vijana tukaoa mapema hii ni njia nzuri ya kuepukana na tabia kama hizi , japo kuna watu hadi kwenye ndoa bado wana hizi tabia .
 
Tuwasikilize wadhamini wetu wakati tukisubiri wadau kuja kusema chochote
 
Shida ndio zinawatoa watu mvi na kuwazeesha haraka .Mambo mengine yanayopelekea kuzeeka haraka ni uvutaji wa Sigara na unywaji pombe kupitiliza ...Nyeto inazeesha kama inamletea mtu stress ila sio direct cause
 
Kwa upande wangu mimi nitasema ni mfumo wa maisha kuwa m'bovu,vijana wengi mijini hawafanyi mazoezi na wanakula hovyo vyakula vyenye mchanganyiko wa sumu ambayo ilibidi itolewe mwilini kupitia mazoezi.

Kingine kijana wa leo dunia yake ni ngumu anatafuta mahitaji kwa nguvu kubwa huku akiwa frustrated eg nenda kwenye betting sites angalia wale madogo wanavyoumiza vichwa kusuka mikeKa then wakikosa wanakuwa ktk hali gani?
 
1. Mvi ✅✅✅

2. Kipara✅✅✅

3. Kumpoteza kumbukumbu✅✅✅

4.Kupungua uzito✅✅✅

5. Magonjwa ya Moyo na stress ✅✅✅

6. Tumbo Kunguruma na kujaza gesi✅✅

7. Maumivu ya Mgongo na kiuno hasa upande mmoja ( sciatica nerves)✅✅

8. Erectile dysfunction ✅✅

9. Macho kuanza kupundua nguvu na kuanza kuona maluweluwe✅✅✅

10. Magoti kuoshiwa nguvu na misuli kucheza cheza yenyewe✅✅

Acha kabisa upuuzi huu. Ambao baadhi ya vijana wa hovyo wanaushanikia ila wakipata madhara wanaanza kusingizia wamelogwa na majirani au wapenzi wao wenyewe kumbe mchawi ni mkono wake mqenyewe
 
1. Mvi ✅✅✅

2. Kipara✅✅✅

3. Kumpoteza kumbukumbu✅✅✅

4.Kupungua uzito✅✅✅

5. Magonjwa ya Moyo na stress ✅✅✅

6. Tumbo Kunguruma na kujaza gesi✅✅

7. Maumivu ya Mgongo na kiuno hasa upande mmoja ( sciatica nerves)✅✅

8. Erectile dysfunction ✅✅

9. Macho kuanza kupundua nguvu na kuanza kuona maluweluwe✅✅✅

10. Magoti kuoshiwa nguvu na misuli kucheza cheza yenyewe✅✅

Acha kabisa upuuzi huu. Ambao baadhi ya vijana wa hovyo wanaushanikia ila wakipata madhara wanaanza kusingizia wamelogwa na majirani au wapenzi wao wenyewe kumbe mchawi ni mkono wake mqenyewe
Hakuna scientific proof ya hivi ulivyoweka hapa , japo si tabia nzuri ila ukweli uekwe wazi na uongo pia uwekwe wazi itapendeza zaidi.
 
Mvi ni suala la genetics..halihusiani na sijui punyeto au ulevi
 
Back
Top Bottom