Je ni kweli Rais wa Nigeria, Buhari alishafariki toka 2017

Unachohisi ni uhalisia siyo uhalisia,na unachodhani si halisi ndicho hasa halisi.Kuna mambo kwa akili yako ya kawaida unafikiri hayawezekami lkn yanatokea,yanafanyika na yanawezekana ktk dunia hii.
Wew Buhari wa kabla ya 2017 ulishawahi kuwa naye karibu,huyu wa sasaivi pia una ukaribu naye ili uweze kujiridhisha kuwa unawafahamu kwa karibu na hivyo habari ni feki au ni editing.
Kuna mambo ktk dunia hii yanafanyika ktk hali yaekushangaza kabisay.
Kuna mambo yanafanyika kwa akili ya kawaida unatafsiri waliofanya wamekosea au wanefanya kwa makusudi.Lkn kumbe yalipangwa yatokee hivyo kimakosa na yaonekane wamekosea,au makusudi yenyewe ilipangwa kwa makusudi ionekane ni makusudi. Hapo kuna lengo.
 
Facts tupu ..but it can be anything...niliwahi kuripoti kifo cha Buhari nikashukiwa kama mwewe...! Muda utasema...!!!!
 
Sasa yote hayo kwa faida gani?? Na ili iweje ,?? Ikiwa Katiba inatabua Kuna kifo na mbadala wake,

Bado nasubiria wajuvi sijaikubali hii taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…