SumadaVinci
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 161
- 328
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kma sielew elewiJana katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na habari hii huko nchini naijeria ukiachana na kile kinachondelea huko maandamano ya wananchi na SARS yao.
kuna habari nyingine nlikutana nazo zimhusuzo muhammadu buhari raisi wa nchi ya naijeria inayoeleza kwamba alishakufa mwaka 2017 nafasi yake kuchukuliwa na buhari feki toka SUDAN
JE KUNA UKWELI JUU YA HILI
WAJUVI WA MAMBO naomba mtujuze hapa
View attachment 1608027View attachment 1608029View attachment 1608030View attachment 1608032View attachment 1608033View attachment 1608034View attachment 1608035View attachment 1608036
AhhahahaaahhKwani hii dunia ni yetu?
Hata Michael Jackson nasikia alikufaga kitambo wakaleta parody lake (clone) just like him. Naamin wamarekani tu ndo wanafanyaga haya makituHata Rais Jimmy Carter wa Marekani alifariki, akiwa madarakani, Inasemekana akaletwa clone ya Jimmy Carter
sanaDunia ina mengi sana.....
surgery adi kimo😂😂Jamani sasa hivi watu wanafanya sana surgery, , mimi nahisi ndo sababu ya kubadilika kidogo
Kuna nyengine ya NELSON MANDELAHuwa siamini hizi story za kutungwa....!
nimeishia kucheka tu uliripoti kama nani , na una uhakika gani na taarifa yakoFacts tupu ..but it can be anything...niliwahi kuripoti kifo cha Buhari nikashukiwa kama mwewe...! Muda utasema...!!!!
Familia yake unafikiri haijui Hilo..?
Yah mwenyewe alikufaga Belgium ,wakatafuta copy wakatuletea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata TL nasikia bandia.