Je ni kweli Rais wa Nigeria, Buhari alishafariki toka 2017

Kma sielew elewi
 
Jamani sasa hivi watu wanafanya sana surgery, , mimi nahisi ndo sababu ya kubadilika kidogo
 
Facts tupu ..but it can be anything...niliwahi kuripoti kifo cha Buhari nikashukiwa kama mwewe...! Muda utasema...!!!!
nimeishia kucheka tu uliripoti kama nani , na una uhakika gani na taarifa yako
 
Familia yake unafikiri haijui Hilo..?

Sani Abacha aliyekuwa dikteta wa hapo Nigeria miaka ya mwishoni mwa 90 alipenda sana wanawake (kwichi kwichi) alipenda hasa ma model na wa aina hiyo,siku moja watu wake wakamletea wanawake ambao aliingia nao room wakamuua alafu watu wake wakamzika haraka bila uchunguzi na wale wanawake hawakukamatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…