Tatizo asipofunga goli HAMFUATILII mtu gani maarufu kafariki. Acheni ujinga.Ukifatilia huyu jamaa kila akishinda gori leo kesho famous people yeyote lazima afariki.View attachment 861620
Acha ujinga mkuu, imani za kijinga zitakuua.Ushahidi upo sema hujataka kuujua...
Eka research tuoneUkifatilia huyu jamaa kila akishinda gori leo kesho famous people yeyote lazima afariki.View attachment 861620
Goli la Ramsey ndo lilifanya Mac Miller a overdose au?Ramsey anafunga magoli mara nyingi hiyo ni coincidence tu.Ukifatilia huyu jamaa kila akishinda gori leo kesho famous people yeyote lazima afariki.View attachment 861620
Wataje na hivyo vifo vinahusiana nini na yeye?Kwa msimu mmoja anaweza awe na magori 2 ila katika hayo magori 2 kuna famous people wawili wamekufa kesho yake au kutwa yake
Lakini mkuu hapa ukiangalia punguani ni wewe ambae hata huna uhakika jamaa anacheza namba ngapi.katika msimu wote et ana magoli 2 hlf mnamsifia..! halaf unaweza kuta n mshambuliaji.
em toeni upunguani wenu hapa.