JE? NI KWELI RAMSEY ANA LAANA KUUA WATU MAARUFU KILA AKIFUNGA GOLI

JE? NI KWELI RAMSEY ANA LAANA KUUA WATU MAARUFU KILA AKIFUNGA GOLI

bablon6

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
630
Reaction score
566
Ukifatilia huyu jamaa kila akishinda gori leo kesho famous people yeyote lazima afariki.
IMG-20180909-WA0008.jpg
 
katika msimu wote et ana magoli 2 hlf mnamsifia..! halaf unaweza kuta n mshambuliaji.
em toeni upunguani wenu hapa.
 
katika msimu wote et ana magoli 2 hlf mnamsifia..! halaf unaweza kuta n mshambuliaji.
em toeni upunguani wenu hapa.
Lakini mkuu hapa ukiangalia punguani ni wewe ambae hata huna uhakika jamaa anacheza namba ngapi.
 
Tarehe 1-5-2011

Alishnda gori alipocheza na MAN UTD

Kesho yake OSAMA akauwawa

Tareh 2-10-2011 alifunga againstTottenham

3-10-2011 founder wa apple akafariki

19-10-2011 alifunga against marseile

Tarehe iliyofata 20-10-2011 GADAFI AKAFA

BISHANA KWA HOJA[emoji19][emoji19]
 
Back
Top Bottom