So kwenye career yake ana goli tatu tu?Tarehe 1-5-2011
Alishnda gori alipocheza na MAN UTD
Kesho yake OSAMA akauwawa
Tareh 2-10-2011 alifunga againstTottenham
3-10-2011 founder wa apple akafariki
19-10-2011 alifunga against marseile
Tarehe iliyofata 20-10-2011 GADAFI AKAFA
BISHANA KWA HOJA[emoji19][emoji19]
Kiungo sheheekatika msimu wote et ana magoli 2 hlf mnamsifia..! halaf unaweza kuta n mshambuliaji.
em toeni upunguani wenu hapa.
Hat ww ungekuwa ushakufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipatii picha kama hiyo laana angekuwa nayo CR7.
Haters wanaspread upupu tu hamna lolote, hakunauhusiano.Kwa msimu mmoja anaweza awe na magori 2 ila katika hayo magori 2 kuna famous people wawili wamekufa kesho yake au kutwa yake
Tupatie ushahidi wa hili.... Then tutakuwa Tumeelewa vizuri shutuma hizi.....Tatizo asipofunga goli HAMFUATILII mtu gani maarufu kafariki. Acheni ujinga.
Tarehe zingine watu maarufu hawakufa?Tarehe 1-5-2011
Alishnda gori alipocheza na MAN UTD
Kesho yake OSAMA akauwawa
Tareh 2-10-2011 alifunga againstTottenham
3-10-2011 founder wa apple akafariki
19-10-2011 alifunga against marseile
Tarehe iliyofata 20-10-2011 GADAFI AKAFA
BISHANA KWA HOJA[emoji19][emoji19]
Koffi Anan, Michael Jackson, Aretha Franklin, Mc Cain and the list goea on!Tupatie ushahidi wa hili.... Then tutakuwa Tumeelewa vizuri shutuma hizi.....
MKUU bablon6, jana Ramsey katupia. Vipi leo nani kawahi kiwanja kwa Mungu?Ukifatilia huyu jamaa kila akishinda gori leo kesho famous people yeyote lazima afariki.View attachment 861620