JE? NI KWELI RAMSEY ANA LAANA KUUA WATU MAARUFU KILA AKIFUNGA GOLI

JE? NI KWELI RAMSEY ANA LAANA KUUA WATU MAARUFU KILA AKIFUNGA GOLI

Tarehe 1-5-2011

Alishnda gori alipocheza na MAN UTD

Kesho yake OSAMA akauwawa

Tareh 2-10-2011 alifunga againstTottenham

3-10-2011 founder wa apple akafariki

19-10-2011 alifunga against marseile

Tarehe iliyofata 20-10-2011 GADAFI AKAFA

BISHANA KWA HOJA[emoji19][emoji19]
So kwenye career yake ana goli tatu tu?
 
Kwa msimu mmoja anaweza awe na magori 2 ila katika hayo magori 2 kuna famous people wawili wamekufa kesho yake au kutwa yake
Haters wanaspread upupu tu hamna lolote, hakunauhusiano.
 
Tarehe 1-5-2011

Alishnda gori alipocheza na MAN UTD

Kesho yake OSAMA akauwawa

Tareh 2-10-2011 alifunga againstTottenham

3-10-2011 founder wa apple akafariki

19-10-2011 alifunga against marseile

Tarehe iliyofata 20-10-2011 GADAFI AKAFA

BISHANA KWA HOJA[emoji19][emoji19]
Tarehe zingine watu maarufu hawakufa?
 
Back
Top Bottom