Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 579
Hapo nyuma niliwahi kusikia maelezo ya watu kibao wakisema una namba ukiipiga kwa vodacom anapokea mpokeaji ambaye inadaiwa ni Shetani, sikumbuki vizuri namba ile, nadhani zinakuwa moja moja kumi namoja, sijui (11111111111) au zinakuwa 14? Nikasikia kwamba mlokole mmoja alipiga na alipoitikiwa akadai anaitwa Yesu Kristo,halafu ati sauti ikasikika akiwa amegadhabika, mkali akilalama kwa nini anachokozwa. Simu ikakatika. Wenye kupiga wanadai ukipiga na kuongea naye wanakuuliza unataka wakufanyie nini, ukikubaliana naye unapeta,ila miakaminane ikiisha lazima ufe. Je ni kweli hayo?
Mbeya, nasikia pia hata sasa mambo yapo, ambapo ukiingia mkataba na shetani unakuwa tajiri aliyekubuhu kwa miaka kumi halafu lazima ufe. Jamaa hapa karibuni alinipa mifano ya watu vijana kadhaa waliokuwa matajiri sana wakingali bado vijana, halafu kweli hawakudumu. Wanaoangukia huko hasa ni vijana, sharti moja kuu ati unalazimika kumtoa mwanafamilia wako mmoja unayempenda sana, kama mama, baba, mkeo mwanao au intiyo wa kwanza. Tumia utajiri wako utakavyo ndani ya miaka 10, mkataba haurejelewi. Je? kweli hayo? Maana Mbeya nayo ina vituk weacha tu. The Lagos of East Africa.
Leka