Je, ni kweli Shetani anayo vodacom number?

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2006
Posts
3,019
Reaction score
579
Hapo nyuma niliwahi kusikia maelezo ya watu kibao wakisema una namba ukiipiga kwa vodacom anapokea mpokeaji ambaye inadaiwa ni Shetani, sikumbuki vizuri namba ile, nadhani zinakuwa moja moja kumi namoja, sijui (11111111111) au zinakuwa 14? Nikasikia kwamba mlokole mmoja alipiga na alipoitikiwa akadai anaitwa Yesu Kristo,halafu ati sauti ikasikika akiwa amegadhabika, mkali akilalama kwa nini anachokozwa. Simu ikakatika. Wenye kupiga wanadai ukipiga na kuongea naye wanakuuliza unataka wakufanyie nini, ukikubaliana naye unapeta,ila miakaminane ikiisha lazima ufe. Je ni kweli hayo?

Mbeya, nasikia pia hata sasa mambo yapo, ambapo ukiingia mkataba na shetani unakuwa tajiri aliyekubuhu kwa miaka kumi halafu lazima ufe. Jamaa hapa karibuni alinipa mifano ya watu vijana kadhaa waliokuwa matajiri sana wakingali bado vijana, halafu kweli hawakudumu. Wanaoangukia huko hasa ni vijana, sharti moja kuu ati unalazimika kumtoa mwanafamilia wako mmoja unayempenda sana, kama mama, baba, mkeo mwanao au intiyo wa kwanza. Tumia utajiri wako utakavyo ndani ya miaka 10, mkataba haurejelewi. Je? kweli hayo? Maana Mbeya nayo ina vituk weacha tu. The Lagos of East Africa.

Leka
 
jamani, jamani, jamani , jamani mnaipakazia MBEYA vikali, maana kila baya Mbeya, wacha niende huko maana ninatarajia kwenda kusalimia wakwe hivi karibuni.
 
Mwambie anatakiwa awe na tigo pia!!! Voda peke ake sisi wenye xtreme za tigo hatutampata!!!!
 
jamani, jamani, jamani , jamani mnaipakazia MBEYA vikali, maana kila baya Mbeya, wacha niende huko maana ninatarajia kwenda kusalimia wakwe hivi karibuni.

Kwa jinsi ninavyokufahamu nguvumali utakuja na data safi.

Leka
 
hahahaha hiii kali, jamani la MBY nakuvulia kofia vimbwanga vingi vinaanzia huko
 
You made my day ---eti huenda shetani ameoa huko!!!!!!!!!!!!!!!!Lol hii kasi kweli kweli
 
Hapo nyuma niliwahi kusikia maelezo ya watu kibao wakisema una namba ukiipiga kwa vodacom anapokea mpokeaji ambaye inadaiwa ni Shetani, sikumbuki vizuri namba ile, nadhani zinakuwa moja moja kumi namoja, sijui (11111111111) au zinakuwa 14? Nikasikia kwamba mlokole mmoja alipiga na alipoitikiwa akadai anaitwa Yesu Kristo,halafu ati sauti ikasikika akiwa amegadhabika, mkali akilalama kwa nini anachokozwa. Simu ikakatika. Wenye kupiga wanadai ukipiga na kuongea naye wanakuuliza unataka wakufanyie nini, ukikubaliana naye unapeta,ila miakaminane ikiisha lazima ufe. Je ni kweli hayo?

Mbeya, nasikia pia hata sasa mambo yapo, ambapo ukiingia mkataba na shetani unakuwa tajiri aliyekubuhu kwa miaka kumi halafu lazima ufe. Jamaa hapa karibuni alinipa mifano ya watu vijana kadhaa waliokuwa matajiri sana wakingali bado vijana, halafu kweli hawakudumu. Wanaoangukia huko hasa ni vijana, sharti moja kuu ati unalazimika kumtoa mwanafamilia wako mmoja unayempenda sana, kama mama, baba, mkeo mwanao au intiyo wa kwanza. Tumia utajiri wako utakavyo ndani ya miaka 10, mkataba haurejelewi. Je? kweli hayo? Maana Mbeya nayo ina vituk weacha tu. The Lagos of East Africa.

Leka

Wewe unataka kuwa tajiri? jaribu kumpigia halafu uje utueleze, huenda ukapata majibu sahihi zaidi. Inakuaje ukaishi wakati umetajirika kwa kumtoa kafara mwanadamu? Kwangu mimi siami kama inawezekana. Ila jaribu, utapata majibu kamili kwake.
 
jamani, jamani, jamani , jamani mnaipakazia MBEYA vikali, maana kila baya Mbeya, wacha niende huko maana ninatarajia kwenda kusalimia wakwe hivi karibuni.

inawezekana kabila la shetani ni mojawapo ya makabila yaliyoko mbeya. Maana hakuna mahali niliwahi sikia watu jasiri wanaua mtu na kuchuna ngozi yake.
ooh Ujerumani jamaa aliua na kula nyama though hawakusema kama ngozi aliitafuna pia. Labda aliiuzia mbeya.
 
tigo anapatika namba hiyo hiyo tigo ya kumi na tatu
 
useless dump!
Waste of paper, pen and energy and time!..huh!
 
tutafuttie mtu alokwambia mambo hayo yawezekana ndo huyo aliyesababisha watu wachunwe ngozi na albino kukatwa viungo vyao harafu ahojiwe vizuri
 
Mjerumani aliyekula nyama ya mtu aliuza ngozi mbeya? jamani.
 
jamani, jamani, jamani , jamani mnaipakazia MBEYA vikali, maana kila baya Mbeya, wacha niende huko maana ninatarajia kwenda kusalimia wakwe hivi karibuni.

Mzee,

Mbeya ni kama Lagos (Nigeria)

Makanisa mengi, wasomi wengi, maskini wengi, ujasiliamali mwingi, maovu kibao na ushirikina wa kutisha ndo nyumbani kwake.

Mweleze huyo jamaa yako anayetaka kujua ya shetani, achukue fomu za kujiunga na dini ya mashetani http://www.churchofsatan.com/home.html nafasi za kujiunga bure kabsaaaa.
 
Huo ni uongo na uzushi....no 111 ni ya polisi emergency....kumbuka short code hiyo iko reserved kwa jili ya police....hata ukiweka 111 ziwe 14 only first 3 will be picked up....kuna polisi mmoja anafanya kazi 999 central anasema wanawasumbua sana wananachi kupiga na kuomba utajiri.....ndio maana wenye serious case hawasikilizwi maana wanajua ndio wanaoomba utajiri....tuelimishane tuache ujinga tunawachosha sana police kwa ujinga!!
 
Back
Top Bottom