Je ni kweli Simba sasa ina wapenzi wengi kuliko Yanga

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Tumejionea wenyewe mechi za hivi karibuni kati ya Simba na Yanga, Washabiki Simba wanakuwa zaidi ya mara mbili ya wale wa Yanga wanao ingia Uwanjani, Takwimu Za TFF zinaonyesha VPL 2018 Simba inaongoza kwa mapato ikiwa imeiacha mbali Yanga, Mauzo ya jezi ya wachezaji wa simba ni makubwa kuliko ukijumlisha mauzo ya jezi kwa timu zote zinazoshiriki VPL mwaka huu, na hata Mohamed Dewji alisema hadharani kwa utafiti aliofanya, Simba ni brand kubwa kuliko zote Tanzania.

Kwa miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa kuwa Yanga ina wapenzi wengi zaidi ya simba, Je ni kweli kwamba Simba sasa imeipiku Yanga, nini sababu za kuipiku Yanga, au tulikuwa tunaaminishwa uongo?
 
binafsi ni shabiki wa yanga ..naweza sema nina mapenz na mpira wa miguu ila sina mapenz na ulevi wa timu kiasi kwamba hata timu yangu ikikosea niendelee kuipa sifa...
kwa maono yangu simba kwa sasa inacheza mpira wa kimataifa yaani (PASI,COUNTER ATTACK,DIFFENSIVE)nk vyote vinapatikana simba... wapo vizur..Tofauti na timu yangu yanga kwa sasa, huenda msimu huu tupo vibaya,ngoja tuangalie msimu hujao....#simba~wanamashabiki wengi msimu huu
 
Hapana...yanga inamashabiki wengi ila ni wale mashabiki wa matukio na timu ikiwa kwenye ubora basi,kwa sasa timu yao inayumba hata uwanjani huwezi kuwaona,tunawaita plastic fans
Mashabiki maandazi tunawaita, vyura hawajielewi
 
Inaweza kuwa kweli wale waliamia AZAM FC kwa mkopo wote wamerudi kundini.
Wapenzi wa mpira wa bongo ni wapenzi wa matukio na matokeo vinginevyo hakuna mapenzi ndio maana wanaweza kumzomea mchezaji wao uwanjani toaaa huyoooo
Nawakilisha
 
Tumejionea wenyewe mechi za hivi karibuni kati ya Simba na Yanga, Washabiki Simba wanakuwa zaidi ya mara mbili ya wale wa Yanga wanao ingia Uwanjani, Takwimu Za TFF zinaonyesha VPL 2018 Simba inaongoza kwa mapato ikiwa imeiacha mbali Yanga, Mauzo ya jezi ya wachezaji wa simba ni makubwa kuliko ukijumlisha mauzo ya jezi kwa timu zote zinazoshiriki VPL mwaka huu, na hata Mohamed Dewji alisema hadharani kwa utafiti aliofanya, Simba ni brand kubwa kuliko zote Tanzania.

Kwa miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa kuwa Yanga ina wapenzi wengi zaidi ya simba, Je ni kweli kwamba Simba sasa imeipiku Yanga, nini sababu za kuipiku Yanga, au tulikuwa tunaaminishwa uongo?
Labda wapenzi watamazaji lakini siyo wa mpira. Yanga ndo baba lao.
 
Manara anawadanganya Mbumbumbu wenzake...Yanga miaka mitatu bingwa hamasa lazima ishuke...msimu ujao utaona hamasa inarudi wanataka kombe lao..Tetesi JK anachukua fomu za uenyekiti Yanga..Dangote (mwenyewe sio mondi)anakuja kuwekeza 100B si unajuwa JK na Dangote ni family friends..Yanga itapaa level za kina Al Ahly,Zamalek,Orlando Pirates,TP Mazembe etc Mbumbumbu FC jiandaeni kisaikolojia
we usinifanye me nkajikojolea kwa furaha hapa
 
Ukizaliwa Tanzania ukafahahamu kwamba kuna kitu kinaitwa mpira, automatically wewe ni Simba au Yanga. Kwa Tanzania sasa hivi simba ina fans wengi, hata ukisample kwenye group la watu, utakuta wengi ni Simba
Uongo.. Sikubalian na ww
 
Hapana...yanga inamashabiki wengi ila ni wale mashabiki wa matukio na timu ikiwa kwenye ubora basi,kwa sasa timu yao inayumba hata uwanjani huwezi kuwaona,tunawaita plastic fans
Bong 1 point, bigup mkuu
 
Manara anawadanganya Mbumbumbu wenzake...Yanga miaka mitatu bingwa hamasa lazima ishuke...msimu ujao utaona hamasa inarudi wanataka kombe lao..Tetesi JK anachukua fomu za uenyekiti Yanga..Dangote (mwenyewe sio mondi)anakuja kuwekeza 100B si unajuwa JK na Dangote ni family friends..Yanga itapaa level za kina Al Ahly,Zamalek,Orlando Pirates,TP Mazembe etc Mbumbumbu FC jiandaeni kisaikolojia
Hadithi hiyo amekuadithia nani na ina maana gani na inatufundisha kitu gani?
 
M nafikiri kwasababu ya zama,enzi zile wazee wetu waliipenda sana yanga kwakua ndio ya kwanza na ilifanya vizuri wakati wao,kizazi hiki vijana wengi wanaipenda simba kwakua wamezaliwa wameikuta ikifanya vizuri,sasa kama ujuavyo wazee wengi wameenda akhera na waliobaki ni wamakamo na si wengi na hawananguvu za kuleta mbwembwe na vijimambo.
 
Manara anawadanganya Mbumbumbu wenzake...Yanga miaka mitatu bingwa hamasa lazima ishuke...msimu ujao utaona hamasa inarudi wanataka kombe lao..Tetesi JK anachukua fomu za uenyekiti Yanga..Dangote (mwenyewe sio mondi)anakuja kuwekeza 100B si unajuwa JK na Dangote ni family friends..Yanga itapaa level za kina Al Ahly,Zamalek,Orlando Pirates,TP Mazembe etc Mbumbumbu FC jiandaeni kisaikolojia
Fake projection!! Vyuraaaaaaaaaaa[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
Back
Top Bottom