HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Tumejionea wenyewe mechi za hivi karibuni kati ya Simba na Yanga, Washabiki Simba wanakuwa zaidi ya mara mbili ya wale wa Yanga wanao ingia Uwanjani, Takwimu Za TFF zinaonyesha VPL 2018 Simba inaongoza kwa mapato ikiwa imeiacha mbali Yanga, Mauzo ya jezi ya wachezaji wa simba ni makubwa kuliko ukijumlisha mauzo ya jezi kwa timu zote zinazoshiriki VPL mwaka huu, na hata Mohamed Dewji alisema hadharani kwa utafiti aliofanya, Simba ni brand kubwa kuliko zote Tanzania.
Kwa miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa kuwa Yanga ina wapenzi wengi zaidi ya simba, Je ni kweli kwamba Simba sasa imeipiku Yanga, nini sababu za kuipiku Yanga, au tulikuwa tunaaminishwa uongo?
Kwa miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa kuwa Yanga ina wapenzi wengi zaidi ya simba, Je ni kweli kwamba Simba sasa imeipiku Yanga, nini sababu za kuipiku Yanga, au tulikuwa tunaaminishwa uongo?