KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,705
- 4,217
Kwa wapenzi wa mpira wa miguu,
Mwaka 2010 FIFA ilitangaza rasmi mapinduzi ya technolojia katika mpira wa miguu, hii ni baada ya Kombe la Dunia lililopigwa South Africa kwa Madiba.
Modern football inayoongelewa hapa ni baadhi ya mambo yaliyofanyiwa mabadiliko katika Sheria za Mpira wa miguu. Mfano wa Teknolojia na Sheria;
~ Sheria ya offside
~ Matumizi ya VAR
~ Sensor kwenye Mpira
~ Sheria mpya ya handball
~ Electronic Performance and Tracking Systems (EPTS)
Lengo likiwa ni kuboresha mpira ila kwa maoni ya kenge naona kama hizi technology zimekuja kuondoa radha ya mpira kwanini?
1. Huwezi kushangilia goli bila uthibitisho wa VAR, Tofauti na zamani likifungwa goli unashangilia bila mawazo ya kukubaliwa au kukataliwa na VAR.
2. Sheria mpya ya offside ni ngumu mno tofauti na zamani, yaani kwasasa mchezaji akizidi hata kucha au nywele (kwenye offside line) inahesabika kama Offside (Marcello katumia sana mbinu ya kujichelewesha pale Madrid ili mpinzani aingie mkenge wa offside), kwahiyo sasa wachezaji muda mwingine wanatumia kama advantage.
3. Sheria ya Handnall imekuwa complicated sana tofauti na zamani, ukishika ni umeshika, kama ni ndani ya boksi inawekwa tuta hakuna mjadala.
4. Sheria za Freekick hii angalau imeboreshwa kwasababu zamani Freekick ilipigwa hata ndani ya Boksi.
5. Match Fixing:
Kama ni mdau wa kubeti utakutana na site zinatoa correct score na team inaisha na matokeo yaleyale sasa unajiuliza hao walijuaje match fixing inahamasishwa na uwepo wa wimbi la kampuni za kubeti na kamari kwa ujumla, sometimes Mareta nao wanabet sana, wachezaji ndio usiseme sasa hii imeharibu mpira kwa ujumla.
Sasa kuna wakati mfano hii VAR, inakua ni tamu kama ikiwa upande wa team yako, ila ikiwa tofauti inauma sana!
Nini maoni yako? Uwepo wa Teknolojia kama VAR umeleta au kuondoa radha ya Mpira?
Cc Chief-Mkwawa ARV