Je, ni kweli suzuki escudo old model zina tatizo la AC?

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
434
Reaction score
581
Habari wadau
Naipenda sn hii gari ni roho ya paka na ukiitunza bila kujali kupitwa kwake na wakati utakaa nayo sn na pesa za kutaka gari nyingine ukafanyia mambo mengine,

Sasa naambiwa ina matatizo6ya AC yan haifanyi kazi vizuri ndo mana wengi wenye gari hizi hapa Town huwa wanafungua vioo all the time, ila nimeambiwa naweza nunua compressor nyingine mfano ya starlet na kuifunga na itafanya kazi poa, je ni kweli hili?

Naomba kujuzwa zaid
 
Ngoja nibane hapa na mimi nipate shule.
 
ndio zina shida ya AC toka kiwandani,hazina uwezo wa kufua baridi yakutosha......kuna jamaa alinifanyia modification pale Ilala...now kama nipo Alaska....ukihitaji nambie nikuunge nae
 
ndio zina shida ya AC toka kiwandani,hazina uwezo wa kufua baridi yakutosha......kuna jamaa alinifanyia modification pale Ilala...now kama nipo Alaska....ukihitaji nambie nikuunge nae
Sawa mkuu huyo Fundi alitengeneza ikafanya kazi au ilibidi ununue compressor nyingine?
 
sawa mkuu.Nilifikiri ni yeye maana na mimi tatizo langu la AC la muda mrefu lilitatuliwa huko huko Ilala.Nadhani Ilala mafundi wa AC hawabahatishi
kweli...wamebobea
 
Ni kweli, shida kubwa kwa Escudo ni hizi
1. AC
2. Radiator
3. Power window
 
Tatizo la nyongeza haina balance ukiendesha spidi kupinduka sekunde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…