TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Umemaliza nilichotaka kutype siongezi nenoWewe either utakua uko kitengo flani unavuta ukwasi kiulaini ,au ni mtoto wakishua au una connections mingi sana mjini hapa .
Watu namna ndio hudhani majobless ni wazembe au hawajiongezi..
Kabla hujafikiria hizo degree za chupi kama ni moja ya tatizo, ulianza kwanza kujiuliza kwa mwaka labor market inakuwa supplied na labor force kwa kiasi gani na demand ya labor force ipo kiasi gani?!Habari wadau...!
Ebu leo tuongee ukweli hivi kweli Tanzania ajira ni tatizo au tatizo ni wahitimu wetu na vyuo vyetu vinavyozalisha hao wahitimu.
Si kwamba kuna vyuo vinatoa wahitimu wepesi wenye degree na GPA za chupi zenye uzito wa kinyoya na weupe kichwani kabisa kiasi ambacho hata wawekezaji wanaogopa kuwaajiri sababu wanakosa zile sifa anazotaka muajiri????
Hivi ulitakiwa kuhoji ni nani basi wanafanya kazi huko sekta binafsi au ulitakiwa kuhoji uwezo wa sekta binafsi ku-absorb available labor fource?Tunasema serikalini hakuna ajira ,je na sekta binafsi nako hakuna mbona mashirika binafsi ni mengi je nani anafanya kazi huko.??
Hivi kama watu wasingekuwa wanafanya hicho mnachoita kufikiria nje ya box, ulishawahi kujiuliza ni watu wangapi kila leo wangekuwa wanaokotwa barabarani kwa ajili ya njaa?!! Ulishawahi kujiuliza ni kwa kiasi gani ujambazi, wizi na uovu wa kila aina ambavyo ungekuwa umetamalaki?!Je tuendelee kungoja ajira za serikali au tukubaliane na Kigwa kuhusu kufikiri nje ya box????
Wengi wanaogoma kukubali ukweli wa Kigwa wa kufikiri nje ya box hawana hata watoto wa kusingiziwa au hawatumi na yakutolea .
Ukweli huwe mchungu ili hiwe ngumu kumeza,kuna mda inabdi tusemwe vibaya ili tupate gazabu na kuongeza juhudi.
Akikujibu uniiteUnavyosema hawaajiriki maana yake ni kwamba nafasi zao ziko wazi, kila tangazo likitoka hawafiti. Au nafasi zao zinachukuliwa na watu wengine.
Je, ni wageni laki ngapi wameajiriwa kwa nafasi ambazo wangeajiriwa wenyeji?
Ajira hakuna, uwekezaji hakuna.
Alieshiba hamjui mwenye njaa. Anaevaa kiatu kinachobana ndio pekee anayajua maumivu yake. Wewe umeshiba hauna shida kabisaHabari wadau...!
Ebu leo tuongee ukweli hivi kweli Tanzania ajira ni tatizo au tatizo ni wahitimu wetu na vyuo vyetu vinavyozalisha hao wahitimu.
Si kwamba kuna vyuo vinatoa wahitimu wepesi wenye degree na GPA za chupi na zenye uzito wa kinyoya na weupe kichwani kabisa kiasi ambacho hata wawekezaji wanaogopa kuwaajiri sababu wanakosa zile sifa anazotaka muajiri????
Au tatizo lipo kwenye mifumo yetu ya elimu???
Tunasema serikalini hakuna ajira ,je na sekta binafsi nako hakuna mbona mashirika binafsi ni mengi je nani anafanya kazi huko.??
Je tuendelee kungoja ajira za serikali au tukubaliane na Kigwa kuhusu kufikiri nje ya box????
Wengi wanaogoma kukubali ukweli wa Kigwa wa kufikiri nje ya box hawana hata watoto wa kusingiziwa au hawatumi na yakutolea .
Ukweli huwe mchungu ili hiwe ngumu kumeza,kuna mda inabdi tusemwe vibaya ili tupate gazabu na kuongeza juhudi.
Ulikua unaandika matusi mazito mno 😀Nimeandika nimefuta......nimeandika nimefuta.......nimeandika nimefuta.........nimeandika nimefuta.
Acha niendelee kupambania abiria hapa kijiweni.
Yapi??Kuna mambo mengi sana kwenye ajira haiwezekani vyuo vyote vitoe degree za font fedi na vyupi
Hawa wazee wa nje ya box awa na kigwangala wake wenýewe mpaka wanawanga kweupe kabisa ili wasipoteze vibarua alafu wanakuja kutuletea ugolo wakulungwaUmemaliza nilichotaka kutype ......siongezi neno
fikira zako ni kama kimo cha Zakayo hauwezi elewa hata ukisoma vipi!Ushuzi mtupu ulioandika..
Kama wabongo hawaajiriki basi inabidi utuambie ni foreigners kiasi gani wameajiriwa kutokana na hili kwenye hizo sekta binafsi
Kwa nini boss?Alieshiba hamjui mwenye njaa. Anaevaa kiatu kinachobana ndio pekee anayajua maumivu yake. Wewe umeshiba hauna shida kabisa
kwani unateseeeka?😇😇Siungekaa kimya tu
Nimesema tu kama ww ulivyo semakwani unateseeeka?😇😇